Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa.
Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na...
Nimefuatilia kwa karibu shughuli za kisiasa za ndugu James Mbowe. Nimeridhika kabisa anafaa kukamata nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.
Ni mwanamageuzi kindakindaki, amepikwa kisiasa...
Hii ndio Tanzania taifa ambalo mambo makubwa yenye tija kwa taifa hayajadili kwa kina na wahusika kuchukuliwa hatua.
Report ya CAG iliposomwa kulikuwa na mjadala mzito watanzania tukaamini...
Mh Afande mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro natumain umzima wa Afya. Baada ya salamu niende kwenye MADA.
Barabara ya kutoka Njiapanda kuja mjini ni barabara iliyojaa Trafiki wengi sana kwa hili...
02 November 2022
TAARIFA YA MBUNGE WA NGARA NDAISABA RUHORO KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAWASILIANO KATIKA KATA 9
Akizungumza na Ngara TV, mbunge wa Jimbo la Ngara Mh. Ndaisaba George Ruhoro...
NIPASHE YA JANA 04/06/2023
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee...
MBUNGE STELLA IKUPA AITAKA SERIKALI KUSIMAMIA KANUNI YA KUPATA MIKOPO KWA WATU WENYE ULEMAVU NCHINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Stella Ikupa Alex Bungeni jijini Dodoma...
Mbunge wa Ngara, Ndaisaba Ruhoro (CCM) alisema vijana wanaohitimu vyuo vya elimu ya juu, hawataki kulima, kushika kinyesi cha ng’ombe au cha kuku.
“Vijana hao wanapoona zizi na ng’ombe na kinyesi...
Picha: Balozi Dkt Marten Lumbanga
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Dkt Marten Lumbanga amesifu ujasiri na uwazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uongozi kiasi cha kukaribisha mawazo huru...
Mbunge wa Kilosa, Profesa Palamagamba Kabudi amesema wananchi wa Jimbo la Kilosa wamekuwa wakipata usumbufu mkubwa kwa tembo kuvamia mashamba na kuharibu mazao na miji ya watu na kwa muda mrefu...
SANGA AHOJI UPI MKAKATI WA SERIKALI KUTUMIA SETILITE NA KUACHANA NA MINARA YA SIMU
Kila Mbunge akisimama tunaomba Minara ya Simu Majimboni kwetu, Je, Upi Mkakati wa Serikali kuachana na Minara na...
- The foundations of the constitution, point number two states that: and whereas those principles can only be realised in a democratic society in which the executive is accountable to the...
Ukiacha Msumbiji ambayo ilipata uhuru wake mwaka 1975, nchi zingine zote zinazoizunguka "Tanganyika" zilipewa uhuru miaka ya 1960's.
Sasa chukulia Tanganyika ingeendelea kutawaliwa na Wakoloni...
Katika historia ya Tanzania na utumishi wa Umma hakujawahi kuwa na wafanyakazi wawili wala rushwa kama waziri January Makamba na Mkurugenzi wa TANESCO bwana Maharage Chande.
Ukiachilia mbali...
Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale...
Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia.
Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS...
Unatafuta hela wewe mwenyewe kwa ajili ya maendeleo yako, halafu wewe mwenyewe unapita nyuma nyuma unajiibia [emoji38][emoji38] unarud tena kukusanya, ukiona zimekuwa nyingi unarud kinyume nyume...
Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ametangaza kuitisha Mkutano na Viongozi wa dini wenye ajenda moja tu , iliyotajwa kuwa ni KUMTOKOMEZA ADUI , ili Rais Samia Apenye bila Kupingwa...