CCM itagawanyika kabla ya 2025. Chama kipya kinakuja. Dalili zote zipo

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
999
1,984
Iko hivi, vikao vya chama mambo yamekuwa magumu, wanachama hawaaminiani, hadi kwenye jimbo langu, Mwenyekiti wangu yupo mguu ndani mguu nje, helewi nini kinandelea.

Anasema hiki sio chama alichokuwa anakijua na kukipigania. Influence imeshuka, watu hawaelewi, sijui campaign mambo yatakuwaje.

Huko kwenu vipi? Mambo yakoje?
 
Iko hivi Vikao vya chama mambo yamekuwa magumu , wanachama awaaminiani . Hadi kwenye jimbo langu. . Mwenyekiti wangu . Yupo mguu ndani mguu nje . Aelewi nini kinandelea . Ana sema hiki sio chama alikuwa ana Kijua na kukipigania . influence imeshuka . Watu awaelewi . Sijui campaign mambo yatakuwaje .

Huko kwenu vipi ? Mambo yakoje ?
Zamani mlikuwa pamoja mlikubaliana waislam wawedaraja lachini lakini sasa chama kimeamua watuwote nisawa namikataba tutaingia nayoyote ilikuondoa unyonyaji sasa waliozoea vyakunyonga vyakuchinja hawavitaki.
 
Duh 🙄 !! Ngoja tuone Karma inavyotenda !!
 
Iko hivi Vikao vya chama mambo yamekuwa magumu , wanachama awaaminiani . Hadi kwenye jimbo langu. . Mwenyekiti wangu . Yupo mguu ndani mguu nje . Aelewi nini kinandelea . Ana sema hiki sio chama alikuwa ana Kijua na kukipigania . influence imeshuka . Watu awaelewi . Sijui campaign mambo yatakuwaje .

Huko kwenu vipi ? Mambo yakoje ?
Waambieni waendelee kutuma vijana wao kudhalilisha wazee ! Malipo yao yako njiani yaja kwa kasi ya 5g 🙏🙏🙏
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Namshukuru Mungu huyu paroko alizaliwa TANZANIA, what a class!
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
 
Hicho chama kitasajiliwa wapi na nchi gani? Samia ndiye anamteuwa msajili wa vyama vya siasa. In short Samia ndiye anasajili vyama vya siasa
 
So true . We wait . Haya mambo magumu Sana . Africa tuna kazi
 
Mbona wenye kuichukia imani ya kiislamu mnaanza kutia huruma we unaambiwa anaitwa MH:SAMIYA SULUHU AHSANI we hushangai ni mda wa MOLA wetu wa haki kudhihirisha zaidi dalili za mwishooo kizazi cha ADAM kila nchi sasa duniani imekuwa na sintofahamu kila anayerud makwao akumbuke kuomba mwisho mwema
 
Iko hivi Vikao vya chama mambo yamekuwa magumu , wanachama awaaminiani . Hadi kwenye jimbo langu. . Mwenyekiti wangu . Yupo mguu ndani mguu nje . Aelewi nini kinandelea . Ana sema hiki sio chama alikuwa ana Kijua na kukipigania . influence imeshuka . Watu awaelewi . Sijui campaign mambo yatakuwaje .

Huko kwenu vipi ? Mambo yakoje ?
Huo ndo ukweli
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo 27/08/2023
What classic comment from baba askofu
 
Back
Top Bottom