Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,105
Rais amemfukuza kazi mkuu wa wilaya na Mkurugenzi kwa kile kinachodaiwa wana CCM wamerejesha kadi na kujiunga upinzani; amesema hatoweza kuvumilia kuona wanaccm wanahama chama.
Kauli hii ni nzuri kisiasa ila ngumu kwa wakuu wa wilaya na mkoa kwa sababu sababu za kuhama chama ni sababu binafsi. Ni sababu za kuungwa mkono sera fulani kuliko sera hizi. Kwa mantiki hiyo ili kujiunga na chama kingine hakuna ushawishi wa DC wala RC bali ni kazi ya viongozi wa siasa kwenye eneo husika.
Kwa wakuu wa wilaya wanaopenda madaraka haiwezi kupelekea wakatumia zaidi vyombo vya dola kunyamazisha wapinzani huku wakiwa wanawatisha wananchi wenye mtizamo tofauti?
Mbinu gani watakazotumia viongozi hawa kuendelea kuwepo kwenye nafasi zao?