Katiba mpya ni muhimu sana kwa ustawi wa Taifa letu

Bavarian8

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
656
1,433
Unauliza sana,

Ajenda kuu kwa Sasa ni katiba mpya, tunahitaji mabadiliko ya katiba ili tutengeneze mfumo mzuri tunaoutaka Kama Watanzania juu ya maisha yetu.

Hili ni suala muhimu sana kwa mustakabali wa TAIFA letu.

Habari za akina Karume na watu wao zisitutoe kwenye reli kabisa.

DP WORLD na akina Samia wao huko ni suala muhimu sana kwani linagusa rasilimali zetu. Tuendelee kulitumia kama fimbo ili tupate katiba mpya, kuwaelimisha wananchi wake front kudai katiba mpya.

Nazungumza haya kwakuwa kumekuwa na ujinga ujinga Mara nyingi sana linapokuja suala muhimu, CCM na washirika wao kututoa kwenye reli katika Mambo ya msingi.

Lets take an example kwa AMOLO ODINGA yeye hatoki kwenye reli ajenda yake ni ile Ile maisha duni kwa wakenya na bei za vitu kuwa juu.

Sisi Kama CHADEMA tusitolewe kwenye reli kabisa na hawa wapuuzi.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom