Marry Nagu ataka Katiba ya Tanzania iwe kama ya Marekani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,733
218,317
Screenshot_2023-08-28-15-01-17-1.jpg

Akizungumza leo amenukuliwa na vyombo vya Habari akidai kwamba , Ni vema Katiba ya Tanzania ikawa kama Katiba ya Marekani, ambayo inaweza kufanyiwa Marekebisho bila hata kuanza upya mchakato wa katiba kila yanapotakiwa mabadiliko.

Ikumbukwe kwamba Marry Nagu aliwahi kuhudumu kama Waziri wa Katiba Nchini Tanzania .

Toa Maoni yako.
 
Ilo viongozi wajiongezee muda wa kikaa madarakani kiholela? Walishasema juzi kwenye jukwaa la Demokrasia, kuwa Si kila kitu Cha Marekani lazima kiwe sawa na chetu maana mazingira na utamaduni wa watu wetu ni tofauti. Tanzania na nchi nyingi za Africa tatizo ni utamaduni. Utamaduni wa mwafeika ni JANGA.
 
Ohooooo !!
 
Ukiona mtu yeyote yule kutoka CMM anatoa maoni yenye mashiko, basi tambua kuna mambo matatu nyuma yake:-
1. Anatafuta. Mfano kuwa Mbunge na Waziri kwa wakati mmoja, nk
2. Yuko nje ya mfumo alio uzoea wa ulaji.
3. Ana bifu na mtawala aliyeko madarakani (Hawapikiki chungu kimoja).

Nje ya hapo, ni mwendo tu wa kusifiana, na kuvikana vilemba vya ukoka.
 
Ndio ilivyo kwa Marry Nagu pia
 
katiba ya marekani ni mbovu sana. the worst of them all. ukiona. inchi kama japan, china na Korea. awaja copy. Jua something is wrong. Asian wako vizuri sana. we should copy japan au Korea. sio marekani
 
Maoni yako yamepokelewa
 
Back
Top Bottom