Sijapenda kabisa mama kumwondoa Meja Jenerali Mzee madarakani

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,174
6,158
Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi viliwekwa kisheria mbunge anachochea wananchi kwa maslahi yake mkuu wa mkoa alikuwa firm leo unamwondoa baadaye mbunge anampongeza rais bungeni, hii inawakatisha tamaa viongozi wetu.

Huyu mama ni mzanzibari hawajui vizuri watanganyika, ni watu wajuaji, waongo, wabishi, wanapenda kupimana nguvu na vyombo vya dola. Sasa siku wakiandamana kwamba mama hatukutaki utoke madarakani uwachekee, hawa viongozi wa dola we endelea kuwakatisha tamaa utatafuta wa kukutetea wakati huo maana wataanza kuimba "tunataka haki yetux2"

Limejitokeza sasa hivi wimbi la watu wanabishana, wanatunishiana misuli na vyomo vya dola halafu waje kulalamika wanaonewa, ni watu waongo, wazushi, wanajaribu kucheza na akili ya rais wa sasa. Kwa mfano utawakuta Mbeya wanatunishiana misuli na wanajeshi kisa mama atawatetea, wako Mbarali, wako Tarime na juzi wamejitokeza Monduli ziwa Manyara, ukweli wale raia wali-organize kuwavamia maaskari wa TANAPA na pengine wangewaua kisa wenzao watatu wamekamatwa kwasababu waliingia eneo la hifadhi.

Wakajikusanya watu zaidi ya 50 kuwavamia maaskari, wale askari walikimbia na kuwaachia wahalifu. Hawakuishia hapo wakaanza kuandamana bila kibali kuelekea ofisi ya kijiji, mtendaji alikimbia wangeweza hata kumwua, wakateketeza ofisi, hawakuishia hapo wakaendelea kuharibu mali za watu wengine pamoja na magari. Nchi yenye utawala ingewaruhusu watu kuendelea kuwaacha wakati wakielekea kwenda kuteketeza ofisi ya TANAPA?

Halafu leo nashanga mkuu wa mkoa wa Arusha anawapetipeti najua ni kwasababu anajua mama hapendi operation iliyofanywa na polisi mama ni mtu wa maridhiano. Rais wangu ukiendelea hivi utashindwa kuwaongoza. Huku ni ngangari na ngunguri, mtu avunje sheria halafu apetwepetwe?

Hapa ndio utamkumbuka Magu, kwanza wasingejaribu, nasema tena wasingejaribu, mwenye kumbukumbu anikumbushe walijaribu wapi. Sasa kila ardhi ni ya wananchi hakuna ardhi ya serikali, mama acha vyombo vya dola visimamie sheria we kaa kimya kafanye shughuli zako labda km kuna extreme case, hawa watakuja hata kuvamia hata jeshini wakiendelea hivi.
 
Sema Mzee naye ujeshi mwingi mno. Mkuu wa mkoa ni nafasi ya kisiasa pia, unatakiwa ulinde picha ya kiongozi wako, sio vizuri ikaonekana serikali inawaonea wananchi.

Hususani kwenye ardhi kumeanza kuwa na malalamiko ya chinichini kuwa serikali ya awamu hii imekuja na lengo la kukwapua ardhi za watanganyika na kuwasababishia mateso. Ngorongoro, Mara, Mbeya N.K
 
Ni majuzi tu kwa mara ya pili mfululizo rais wetu amefanya mabadiliko ya uongozi wa mikoa 3 na wilaya moja. sikufurahishwa kuondolewa kwa meja jenerali Mzee kisa tu anasimamia sheria. Vile vigingi viliwekwa kisheria mbunge anachochea wananchi kwa maslahi yake mkuu wa mkoa alikuwa firm leo unamwondoa baadaye mbunge anampongeza rais bungeni, hii inawakatisha tamaa viongozi wetu.

Huyu mama ni mzanzibari hawajui vizuri watanganyika, ni watu wajuaji, waongo, wabishi, wanapenda kupimana nguvu na vyombo vya dola. Sasa siku wakiandamana kwamba mama hatukutaki utoke madarakani uwachekee, hawa viongozi wa dola we endelea kuwakatisha tamaa utatafuta wa kukutetea wakati huo maana wataanza kuimba "tunataka haki yetux2"

Limejitokeza sasa hivi wimbi la watu wanabishana, wanatunishiana misuli na vyomo vya dola halafu waje kulalamika wanaonewa, ni watu waongo, wazushi, wanajaribu kucheza na akili ya rais wa sasa. Kwa mfano utawakuta Mbeya wanatunishiana misuli na wanajeshi kisa mama atawatetea, wako Mbarali, wako Tarime na juzi wamejitokeza Monduli ziwa Manyara, ukweli wale raia wali-organize kuwavamia maaskari wa TANAPA na pengine wangewaua kisa wenzao watatu wamekamatwa kwasababu waliingia eneo la hifadhi.

Wakajikusanya watu zaidi ya 50 kuwavamia maaskari, wale askari walikimbia na kuwaachia wahalifu. Hawakuishia hapo wakaanza kuandamana bila kibali kuelekea ofisi ya kijiji, mtendaji alikimbia wangeweza hata kumwua, wakateketeza ofisi, hawakuishia hapo wakaendelea kuharibu mali za watu wengine pamoja na magari. Nchi yenye utawala ingewaruhusu watu kuendelea kuwaacha wakati wakielekea kwenda kuteketeza ofisi ya TANAPA?

Halafu leo nashanga mkuu wa mkoa wa Arusha anawapetipeti najua ni kwasababu anajua mama hapendi operation iliyofanywa na polisi mama ni mtu wa maridhiano. Rais wangu ukiendelea hivi utashindwa kuwaongoza. Huku ni ngangari na ngunguri, mtu avunje sheria halafu apetwepetwe?

Hapa ndio utamkumbuka Magu, kwanza wasingejaribu, nasema tena wasingejaribu, mwenye kumbukumbu anikumbushe walijaribu wapi. Sasa kila ardhi ni ya wananchi hakuna ardhi ya serikali, mama acha vyombo vya dola visimamie sheria we kaa kimya kafanye shughuli zako labda km kuna extreme case, hawa watakuja hata kuvamia hata jeshini wakiendelea hivi.
Ishu unayoweza kufanya ni kwenda kugalagala kwenye kaburi chato la dikteta uchwara.
 
Back
Top Bottom