Rekebisheni nembo ya Taifa

Akilindogosana

JF-Expert Member
Jan 12, 2020
2,874
8,685
Wakuu siku za karibuni nimeona kuna kukosewa kwa nembo ya "bibi na bwana" ile niliyoisoma kwenye maarifa ya jamii. Au labda siku hizi imebadilishwa?

Hii ndio inayotambulika
Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png

Hapa ikitumika

B176DC75-453D-49CC-A2E1-6FA5B24B70EC.jpeg

Je hizi ni zipi? Au imebadilishwa? Angalia zaidi "bibi na bwana"
FxIspSHaUAUrG21.jpeg
๐Ÿ‘†๐Ÿพ๐Ÿ‘†๐Ÿพ hiyo kwenye jukwaa ni ipi?

Angalia "bibi na bwana" za hapo chini zilivyo
FxIspSHaUAUrG21.jpeg
FxIspSEaYAE2lld.jpeg
Fw5gSDWXoAYV4K6.jpeg
Fw0byF_agAMEkDT.jpeg
Fwko0BWacAEPtCa.jpeg
FwkcyV5WAAI9-s2.jpeg

Nafahamu hii ndio sahihi ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png

Nawasilisha
Jobless
Akilindogosana

========================
UPDATE
========================
Inasemekana hiyo nembo isiyo na bibi na bwana na mlima Kilimanjaro haupo ni nembo ya Rais tu. Ipo kwenye bendera ya Rais.
1200px-Flag_of_the_President_of_Tanzania.svg.png
 
Huu upuuzi ulifanywa kipindi Cha magufuli hata bendera za taifa ziko mbili ile ya blue bahari na pure Blue

Magufuli hakuwa Mungu alikuwa na makosa yake pia

USSR
Duh! Je wahusika hawapo? Je Aliyechonga anajua nembo halisi? Watu wooooooooooote hao, hakuna aliyegundua hilo, na maposho makubwa wanayopokea ya mamilioni meengi hakuna aliyegundua? Mpaka mimi jobless ndio nigundue ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hao bibi na bwana walisha achana mkuu!
Pia pembe halisi za ndovu walisha zigawana baada ya ndoa kuvunjika kila mmoja kachukua yake kapita hivi.
So wako mtaani wanafanya mambo yao.
Inawezekana upo sahihi. Maana maisha yalivyo magumu itakuwa washaachana siku nyingi. Tena wana kesi ya talaka na kugawana mali, nyumba na kiwanja. Huyo bibi ana mwanaume mwingine na bwana ana mke mpya pisi kaliiiii nyeupe halafu ina tako kubwa.
 
Aisee somo la uraia ni somo muhimi sana.

Kuna tofauti kubwa kati ya nembo ya taifa na nembo ya raisi. Isiyo na bibi na bwana ni ya raisi ipo pia kwenye bendera yake, kiti, pod na kibao cha gari.

Ila nina lakuongezea kwenye uzi wako kuhusu hizi alama,. Wizara ya elimu inapaswa kuonddoa au kubadili vitabu vinavyosema bendera ya taifa ina rangi ya njano. Hii sio kweli bendera ta Tanzania haina hiyo rangi Njano bali ina rangi ya dhahabu

Pia iweke wazi kuwa kamba inayosimamisha bendera ya taifa ni rangi ya kijani kibichi maana ipo siku tutakutana na manila nyekundu zimesimamisha bendera kwenye mlingoti. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Isisahaulike mlingoti ni mweusi

Inasikitisha hii elimu huwezi ipata shuleni kabisa na hata baadhi ya waalimu wa uraia nao hawafahamu haya.
 
Huu upuuzi ulifanywa kipindi Cha magufuli hata bendera za taifa ziko mbili ile ya blue bahari na pure Blue

Magufuli hakuwa Mungu alikuwa na makosa yake pia

USSR
Ningependa sana kufahamu ni kwa nini kuliwekwa bibi na Bwana kwenye Nembo yetu, kwa nini isiwe hakuna chochote?
 
Wakuu siku za karibuni nimeona kuna kukosewa kwa nembo ya "bibi na bwana" ile niliyoisoma kwenye maarifa ya jamii. Au labda siku hizi imebadilishwa?

Hii ndio inayotambulika
View attachment 2636923

Je hizi ni zipi? Au imebadilishwa? Angalia zaidi "bibi na bwana"
View attachment 2636927๐Ÿ‘†๐Ÿพ๐Ÿ‘†๐Ÿพ hiyo kwenye jukwaa ni ipi?

Angalia "bibi na bwana" za hapo chini zilivyo
View attachment 2636927View attachment 2636929View attachment 2636930View attachment 2636931View attachment 2636932View attachment 2636933

Nafahamu hii ndio sahihi ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ
View attachment 2636935

Nawasilisha
Jobless
Akilindogosana
Wamesummarize, hamna mlima wala bibi na bwana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Aisee somo la uraia ni somo muhimi sana.

Kuna tofauti kubwa kati ya nembo ya taifa na nembo ya raisi. Isiyo na bibi na bwana ni ya raisi ipo pia kwenye bendera yake, kiti, pod na kibao cha gari.

Ila nina lakuongezea kwenye uzi wako kuhusu hizi alama,. Wizara ya elimu inapaswa kuonddoa au kubadili vitabu vinavyosema bendera ya taifa ina rangi ya njano. Hii sio kweli bendera ta Tanzania haina hiyo rangi Njano bali ina rangi ya dhahabu

Pia iweke wazi kuwa kamba inayosimamisha bendera ya taifa ni rangi ya kijani kibichi maana ipo siku tutakutana na manila nyekundu zimesimamisha bendera kwenye mlingoti. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Isisahaulike mlingoti ni mweusi

Inasikitisha hii elimu huwezi ipata shuleni kabisa na hata baadhi ya waalimu wa uraia nao hawafahamu haya.
Duh kumbe kuna nembo ya nchi na nembo ya Rais.

Na ile ni rangi ya bendera ni ya dhahabu? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ.

Leo nimejua sijui. ๐Ÿคฃ
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom