Katibu mwenezi CCM Taifa anaweza kufanya ziara za kikazi Mikoani bila kuwepo Katibu Mkuu Chogolo?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Kuuliza sio ujinga.

Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
 
Kuuliza Sio ujinga.

Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi Bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi
hawezi. mwenezi pekee. alikuwa polepole alikuwa nauwezo wakufanya ziara nakutoa maagizo Kwa serikali. nayakatekelezwa. wengine. wanaputanga tuu
 
Kuuliza sio ujinga.

Nimeona kila kona wanafuatana bila kuona ufanisi bali wanapokelewa kwa maelfu ya magari na kuangalia vituo vya afya bila kusikiliza kero kutoka kwa wananchi.
Hata huyo Chongolo anachoweza ni mikutano ya ndani tu
 
Chongolo hana swaga na vibe za kisiasa ndiyo maana anaishia kufanya mikutano ya ndani tu
 
Back
Top Bottom