Mazoea ya Rais kugawa hela zake kiholela

DaudiAiko

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
409
Reaction score
343
Wanabodi,

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mnapojibu kwa kusema kazi iendelee basi kweli mnapeperusha bendera ya Tanzania kwenye jua kali katika msimu huu wa kiangazi.

Kwa mtoto aliyelilia wembe, pochi na Rais Samia ipo tayari kucheua na kumliwaza mtoto huyu. Kama unahitaji kutembea Dubai na buzi lako wiki ijayo, basi piga magoti kwenye msafara wa Rais Samia ili akupe mchongo.

Nasema haya yote kwasababu ya mazoea ya Rais kugawa hela zake kiholela kwa ajili ya mambo ambayo hayana mbele wala nyuma. Je milioni kumi kwa kila goli zilizopewa vilabu vya mpira vingeweza kuwasaidia wagonjwa wangapi Muhimbili?

Je, tiketi elfu tano zilizonunuliwa na Rais kwa ajili ya fainali ya Yanga zingeweza kuwasaidia watanzania wangapi wenye changamoto mbali mbali.

Haya yote yanadhihirisha kwamba hata kama Rais anakusudia kuwasaidia watanzania, bado anapenda political mileage ambazo siku zote hutupotezea muda.

Angeweza kuwatembelea watoto yatima kwenye vituo vyao na kutoa msaada ili aweze kuonekana mtu mwema na wananchi.

Siku zote, charity nzuri hutoka moyoni na kutoka kwa watu ambao hawa dhamini sana recognition. Wahenga walisema "Tenda wema nenda zako".

images (13).jpeg
 
Sisi tuko bize kujiandaa na fainali; hata wewe ukitaka kuisaidia timu yetu kwa kununua tiketi tunakukaribisha kwa mikono miwili. Ugomvi wako na Rais Samia tutakusaidia kukupatanisha naye tukishamaliza fainali
 
View attachment 2637374
Angalia mambo haya, wakati Rais anaweza kutoa pesa kwa mambo yasiyo na muhimu wala kipaumbele kwa taifa, anashindwa kutoa pesa kugharimia vitu vilivyoorodheshwa kwenye mahitaji ya vijana, watoto wa nchi hii wanaojiunga JKT kwa mujibu wa sheria 2023..kuna tatizo gani kila inapotokea jambo linahusu watoto wa nchi hii serikali inarusha jukumu hilo kwa wazazi/walezi, kwani hela wanayolipa kodi kugharimia mambo ya serikali na nchi kwa ujumla haiwezi kupangiwa kwa ajili ya watoto wetu wenyewe? ila kununua magari mapya ndio sawa..kwa nini inakuwa hivi..Serikali inaweza kutaja sababu kwa nini haiwezi kugharimia mahitaji hayo ya hawa vijana? Huo uzalendo na moyo wa kulipenda taifa lao utajengwa vipi kwa mtindo kama huu kwa serikali kuwakana hawa vijana halafu inatumia hela kwa mambo yasiyo na maana yoyote? Ni wapi serikali inaonyesha kuelewa thamani ya vijana hawa kwa taifa hili kama inakwepa kubeba gharama ndogo hizi za mahitaji kujiunga JKT? Serikali wanaweza kugharimia safari ya timu kwenda kucheza ugenini lakini hawako tayari kugharimia nauli za watoto kwenda na kutoka kambini..inakuwaje mambo haya? au kwenda JKT ni hisani? na hivyo si lazima kuwagharimia mahitaji hawa vijana, kama ni hivyo kwa nini kusema ni kwa mujibu wa sheria? Tafadhali sana, nawasihi na hasa Mh
Rais Dkt. Samia Suluhu tendeni vile inapaswa kwa serikali kutendea watoto/vijana wa nchi hii..naiomba serikali ibebe hizo gharama za mahitaji zote za kujiunga JKT kwa mujibu wa sheria 2023. Hivi likizuka la kuzuka hapa, au janga lolote lile..Mungu apishe mbali, vijana hawa ndio watetezi wetu! Inakuwaje hatuonyeshi kama tunajua haya? Au sisi Tanzania ni maalum sana kwa Mungu na hivyo hakuna lolote baya linaweza kutupata? Vijana mahali popote ndiyo fahari ya nchi! Hupaswi kuwatendea hivi!
 
Attachments

Wanabodi,

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mnapojibu kwa kusema kazi iendelee basi kweli mnapeperusha bendera ya Tanzania kwenye jua kali katika msimu huu wa kiangazi.

Kwa mtoto aliyelilia wembe, pochi na Rais Samia ipo tayari kucheua na kumliwaza mtoto huyu. Kama unahitaji kutembea Dubai na buzi lako wiki ijayo, basi piga magoti kwenye msafara wa Rais Samia ili akupe mchongo.

Nasema haya yote kwasababu ya mazoea ya Rais kugawa hela zake kiholela kwa ajili ya mambo ambayo hayana mbele wala nyuma. Je milioni kumi kwa kila goli zilizopewa vilabu vya mpira vingeweza kuwasaidia wagonjwa wangapi Muhimbili?

Je, tiketi elfu tano zilizonunuliwa na Rais kwa ajili ya fainali ya Yanga zingeweza kuwasaidia watanzania wangapi wenye changamoto mbali mbali.

Haya yote yanadhihirisha kwamba hata kama Rais anakusudia kuwasaidia watanzania, bado anapenda political mileage ambazo siku zote hutupotezea muda.

Angeweza kuwatembelea watoto yatima kwenye vituo vyao na kutoa msaada ili aweze kuonekana mtu mwema na wananchi.

Siku zote, charity nzuri hutoka moyoni na kutoka kwa watu ambao hawa dhamini sana recognition. Wahenga walisema "Tenda wema nenda zako".

View attachment 2637374
Hiyo kazi unayotaka iendelee ni kazi ipi ?
 
Sisi tuko bize kujiandaa na fainali; hata wewe ukitaka kuisaidia timu yetu kwa kununua tiketi tunakukaribisha kwa mikono miwili. Ugomvi wako na Rais Samia tutakusaidia kukupatanisha naye tukishamaliza fainali
Kweli ni ugomvi na hayo yote niliyo yaandika ni upuuzi mtupu
 
Wanabodi,

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mnapojibu kwa kusema kazi iendelee basi kweli mnapeperusha bendera ya Tanzania kwenye jua kali katika msimu huu wa kiangazi.

Kwa mtoto aliyelilia wembe, pochi na Rais Samia ipo tayari kucheua na kumliwaza mtoto huyu. Kama unahitaji kutembea Dubai na buzi lako wiki ijayo, basi piga magoti kwenye msafara wa Rais Samia ili akupe mchongo.

Nasema haya yote kwasababu ya mazoea ya Rais kugawa hela zake kiholela kwa ajili ya mambo ambayo hayana mbele wala nyuma. Je milioni kumi kwa kila goli zilizopewa vilabu vya mpira vingeweza kuwasaidia wagonjwa wangapi Muhimbili?

Je, tiketi elfu tano zilizonunuliwa na Rais kwa ajili ya fainali ya Yanga zingeweza kuwasaidia watanzania wangapi wenye changamoto mbali mbali.

Haya yote yanadhihirisha kwamba hata kama Rais anakusudia kuwasaidia watanzania, bado anapenda political mileage ambazo siku zote hutupotezea muda.

Angeweza kuwatembelea watoto yatima kwenye vituo vyao na kutoa msaada ili aweze kuonekana mtu mwema na wananchi.

Siku zote, charity nzuri hutoka moyoni na kutoka kwa watu ambao hawa dhamini sana recognition. Wahenga walisema "Tenda wema nenda zako".

View attachment 2637374
Nilimpenda sana mama Samia, lkn naanza kupoteza Imani naye! haya ha kugawa pesa si kitu chema ukitilia kuwa hizi ni pesa za Umma! Anatoa mfano gani kwa walio chini yake? kwanini wegine wasiibe kama yaye anavyoiba, maana hakuna sheria inayomruhusu kuchota hela Umma kuchezea kama anavyofanya
 
Wanabodi,

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mnapojibu kwa kusema kazi iendelee basi kweli mnapeperusha bendera ya Tanzania kwenye jua kali katika msimu huu wa kiangazi.

Kwa mtoto aliyelilia wembe, pochi na Rais Samia ipo tayari kucheua na kumliwaza mtoto huyu. Kama unahitaji kutembea Dubai na buzi lako wiki ijayo, basi piga magoti kwenye msafara wa Rais Samia ili akupe mchongo.

Nasema haya yote kwasababu ya mazoea ya Rais kugawa hela zake kiholela kwa ajili ya mambo ambayo hayana mbele wala nyuma. Je milioni kumi kwa kila goli zilizopewa vilabu vya mpira vingeweza kuwasaidia wagonjwa wangapi Muhimbili?

Je, tiketi elfu tano zilizonunuliwa na Rais kwa ajili ya fainali ya Yanga zingeweza kuwasaidia watanzania wangapi wenye changamoto mbali mbali.

Haya yote yanadhihirisha kwamba hata kama Rais anakusudia kuwasaidia watanzania, bado anapenda political mileage ambazo siku zote hutupotezea muda.

Angeweza kuwatembelea watoto yatima kwenye vituo vyao na kutoa msaada ili aweze kuonekana mtu mwema na wananchi.

Siku zote, charity nzuri hutoka moyoni na kutoka kwa watu ambao hawa dhamini sana recognition. Wahenga walisema "Tenda wema nenda zako".

View attachment 2637374
Hii sio Holela, this is a very good use ya hizi fedha kujenga hamasa, tena ningewish kila goli la ushindi, linunuliwe kwa Shilingi milioni 50!. Ngoja baada ya ushindi wa kesho, tuanzishe kampeni ya uhamasishaji, hiyo milioni 20 ya Mama, iwe ni kuanzia tuu, mashirika, makampuni, na watu binafsi tuchangie kapur la Mama, ili kila goli hadi litafika milioni 100!.

NB. Justification ni laiti ungelijua kiasi cha kickbacks kinachopigwa na kuingia mufukoni mwa watu kwenye the grand Corruption, then utakubaliana na mimi acha tuu Mama as spent as much as she can kwenye uhamasishaji wa timu yetu, ambapo tukishinda na kuleta kombe, Publicity value yake ni kubwa mara 100 ya tangazo moja la CNN kuhamasisha utalii wetu!.
Hebu angalia hapa
Hi Pascal

Please see below rates (all in US dollars) and based on the target areas EMEA, Asia Pacific – unfortunately we cannot get a rate card for the USA feeds as they work on overnight ratings.

Show quoted text
Show quoted text
P
 
Wanabodi,

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mnapojibu kwa kusema kazi iendelee basi kweli mnapeperusha bendera ya Tanzania kwenye jua kali katika msimu huu wa kiangazi.

Kwa mtoto aliyelilia wembe, pochi na Rais Samia ipo tayari kucheua na kumliwaza mtoto huyu. Kama unahitaji kutembea Dubai na buzi lako wiki ijayo, basi piga magoti kwenye msafara wa Rais Samia ili akupe mchongo.

Nasema haya yote kwasababu ya mazoea ya Rais kugawa hela zake kiholela kwa ajili ya mambo ambayo hayana mbele wala nyuma. Je milioni kumi kwa kila goli zilizopewa vilabu vya mpira vingeweza kuwasaidia wagonjwa wangapi Muhimbili?

Je, tiketi elfu tano zilizonunuliwa na Rais kwa ajili ya fainali ya Yanga zingeweza kuwasaidia watanzania wangapi wenye changamoto mbali mbali.

Haya yote yanadhihirisha kwamba hata kama Rais anakusudia kuwasaidia watanzania, bado anapenda political mileage ambazo siku zote hutupotezea muda.

Angeweza kuwatembelea watoto yatima kwenye vituo vyao na kutoa msaada ili aweze kuonekana mtu mwema na wananchi.

Siku zote, charity nzuri hutoka moyoni na kutoka kwa watu ambao hawa dhamini sana recognition. Wahenga walisema "Tenda wema nenda zako".

View attachment 2637374
Kwaiyo unataka raisi changamoto zako binafsi?
 
Kila jambo lina umujimu

We unavyoingiaga baa hujui kuna watoto yatima? Unavyonunua malaya hujui jamii ina changamoto? Acha unafki hata michezo ni muhimu tena ni tiba
 
Back
Top Bottom