Na Kabwe Z. Ruyagwa Zitto, Mb
(Makala haya kwa sehemu kubwa yametokana na makala iliyoandikwa na mtu mwengine [....]. Mimi nimeiboresha tu Katika baadhi ya maeneo)
Juzi Serikali imetangaza...
Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mzalendo Nambari moja Dkt. John Pombe Magufuli imetumia tsh bilioni 16 kukarabati shule 9 za Ufundi nchini
Shule hizo ni pamoja na:
Moshi Tech
Arusha...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Hamad Abdallah ambapo wamejadiliana...
Watanzania wenzangu, mara chache sana nakuja kwenye hili jukwaa. Leo nilikaa na kufikiri sana. Nikaona nije na hili swali.
Je, kipi ni bora kati ya Demokrasia na Utawala wa kifalme?
Kwa Nchi...
Habari,
Hayati Magufuli anatukanwa sana kuwa ni fisadi na mwizi, hebu watukanaji wake, mnitajie mkataba wowote ule wa kifasadi also wahi kufunga kipindi cha utawala wake?
Pia unitajie ni...
Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL.
Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa...
Wadau nawasalimu naomba wenye uelewa mpaka watujuzi
Tanzania ni nchi huru yenye katiba yake. Katiba ya Tanzania ina sema Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa na bunge ni la vyama...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema ambaye pia Wakili Maarufu nchini mh Tundu Antipas Lissu amesema Ukiona Mkataba unapelekwa bungeni ukaridhiwe Ujue Mkataba huo una Athari kwa Sheria za nchi hivyo...
Imekuwa vipi Nigeria wakampokea wakati kwao nyumbani alipigwa vita kisawasawa na cha ajabu walio mpiga vita bado wako Offisini wakilindwa na wakubwa?
Tukisema wakubwa wananufaika na mazingira...
Balozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia Mhe. Ali Mwadini amekutana na Mhe. Dkt. Abdullah bin Abdulaziz Al-Rabeeah, Msimamizi Mkuu wa Kituo cha Huduma za Kibinadamu cha Mfalme Salman wa Saudi Arabia...
1. Familia ya Jakaya Kikwete - Hii ndio kila kitu, inaongoza kila kitu hasa nani awe wapi na kwanini.
2. Familia ya Ally Hassan Mwinyi - Bado ananguvu sana hasa Zanzibar, ikiwa wanae wanne ni...
Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule...
Naungana na Zito maana hiki kulikuwa ni Kilio Cha Wabunge Kwa miaka Mingi kutaka Mikataba ambayo Serikali inaingia ikapitiwe na Bunge kabla ya kuanza utekelezaji..
My Take
Badala ya watu kujadili...
MAKOSA MAKUBWA YA MSWADA WA TISS
Sehemu ya 1.
Moja ya makosa ya mswada wa sheria ya Usalama wa Taifa, kipengele cha 5 cha mswada huo kinampa mamlaka Afisa usalama kukamata na kupekua viongozi...
Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao.
Wale wawili waongeaji...
Uwezo wa mtu upo katika kuamua kwa usahihi na kisha kutenda bila kusubiri
Nchi yetu imekuwa na nyakati za kuongozwa na viongozi aina mbalimbali
Viongozu wote duniani ili waingie kwenye record...
Naona Wengi wanahoji Kwanini Bandari ya Zanzibar haimo Kwenye mkataba wa Mwekezaji wa Dubai
Bandari ya Zanzibar ilishakodishwa kwa Mwekezaji wa Africa Kusini na ilijadiliwa kwenye Baraza la...
MBUNGE COSATO CHUMI - TUTUMIE MICHEZO KUTANGAZA UTALII
"Wawindaji wazawa hawawezi kushindana na wawindaji Wakubwa, nashauri Wizara ya Maliasili na Utalii itenge 70% kwa ajili ya wawindaji wageni...
Wadau,
Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Kwa mujibu wa katiba iliyopo bunge lazima liwe na Kambi Rasmi ya Upinzani, Mkuu wa Kambi, Mnadhimu Mkuu na Mawaziri Vivuli...
Mod nakuomba huu uzi usiunganishe
Ukiangalia hapa duniani management ni tatizo kubwa tuliokua nao waafrika sehemu yeyote katika nchi za kiafrika watu wanapigania matumbo yao na sio uhai na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.