Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,315
- 24,177
Kujenga Mfugale Fyover sasa imedhihirika kuwa haijatatua msongamano mkubwa wa magari.
Tatizo ni junction ya Buguruni/Mandela/Vingunguti roads.
Naamini Wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS in wahandisi wa kutosha kubuni(design) Interchange ya kuondoa kero hii amnayo sasa imekithiri.
Kwa sasa hivi malori toka na kwenda bandarini, unaweza kaa masaa mawili kwenye foleni.
Kwa maendeleo ya kiuchumi, hili halikubaliki.