Waziri Mwigulu Nchemba: Tumepokea ushauri wa kuongeza Kodi kwenye Pombe

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini.

Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa majibu wakati wa bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Akitoa mchango huo Sichwale alihoji kwanini Serikali isiongeze kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini ili kulinda pombe zinazozalishwa na wananchi kama Gongo, huku akiitaka Serikali kuweka utaratibu utakaowezesha kurasimisha pombe hizo.
 
Mwigulu siku akitaka urais watu watamkumbusha kuhusu ongezeko la kodi ya pango, kodi ya bia, kodi ya n.k.

Conclusion; Watz hawapendi kulipa kodi ila wanataka maendeleo, kazi kwake.
 
😅😅😅waziri wa kodi na Tozo
 
Tutegemee dompo yangu kuuzwa 100k
 
Mwigulu siku akitaka urais watu watamkumbusha kuhusu ongezeko la kodi ya pango, kodi ya bia, kodi ya n.k.

Conclusion; Watz hawapendi kulipa kodi ila wanataka maendeleo, kazi kwake.
Hizo kodi alikuwa anazi set mwenyewe? Alie mteai inaweza vipi kumuacha kwenye lawama?
 
Bwana mwigulu. Nakuita mara 3
Angalia sana hizi pombe zinazozalishwa ndani na wazawa.
Smart gin ( kisungura)
Double kik
Highlife
Kitoko
Nk
Hizi zikiachwa ziuzwe kama zilivyo sasa zitasababisha madhara makubwa kwa. Nguvu kazi ya taifa hili
 
TMDA wameziacha watu wazinywe we shida yako ni nini?
 
Kwa hiyo hamtaki watanzania japo waonje ladha na viwango vya mbele huko waendelee kunywa hizi hizi chibuku?

Acheni hizo bhana vitu kama vyakula na vinywaji huwezi kukomaa kuviwekea kodi kwani ni consumable items muhimu kwa matumizi ya kila siku ya watu.

Mbona tukienda nchi za wenzetu tunakuta products zote, local na export kwenye shelf za supermarket na kuna supermarket nyingine zinauza hizo exported products kwa bei chee kabisa hata kuliko za ndani. Hili pia ni swala la welfare ya watu kuwa na machaguo mengi ya bidhaa wanazohitaji kwa ajili ya chakula na vinywaji kulingana na ladha na viwango wanavyotaka (personal preferences).​
 
Mwigulu siku akitaka urais watu watamkumbusha kuhusu ongezeko la kodi ya pango, kodi ya bia, kodi ya n.k.

Conclusion; Watz hawapendi kulipa kodi ila wanataka maendeleo, kazi kwake.
Watanzania tunapenda kulipa kodi sana tuu,tatizo ni kwenye usimamizi wa kodi zetu ndo maana tunarudi nyuma kwenye moyo wa kulipa kodi
 
Back
Top Bottom