Hersi Said katumia muda wote kuomba msamaha kwa Rais Samia

Hersi Said katumia muda wote kuomba msamaha kwa Rais Samia

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,591
Reaction score
31,133
Hii nchi aibu huwa naona mimi, huu unafiki wa kujipendekeza kwa wanasiasa kamwe Mpira wetu hautakuja kuendelea.

Yaani huyu injinia uchwara Hersi anahojiwa kutoa maoni lakini ajabu maneno yote elfu kumi nikumwomba msamaha Samia Kwa kutokuchukua kombe hakuna cha wananchi, wanayanga Wala wanamichezo ilikuwa ni Samia tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Taifa la kinafiki hili ngoja ni process visa yangu nikafie hata Haiti tu sio Africa Bara la laana kila jitu nikusifu rais Rais rais muda wote uwanjani mabango ya mwanamke duuh
 
Ukishakuwa Yanga basi lolote la ajabu linaweza kutegemewa kutoka kwako.

Ally Kamwe kipindi ni mchambuzi alikuwa anatumia maarifa makubwa kwenye taaluma yake, haya yuko wapi saizi?
Hata wanasimba wale kina Fred vunjabei nk mda wote mabango ya Samia uwanjani. Ipo hivi kaka, apa bongo kifursa chochote kile mtu anakuwa mwehu
 
Naonaga Bora ningekuwa raia wa Haiti.
Screenshot_20230605-115252.jpg

Huko Dominica kuliko bongo.
Screenshot_20230605-115334.jpg


Kuwa mtanzania inauma sana.
Screenshot_20230605-115313.jpg

Wasomi wwote ni wanafiki, wazandiki.
Screenshot_20230605-115859.jpg
Screenshot_20230605-115922.jpg


Tanzania no nchi wanasiasa
 
Back
Top Bottom