MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,294
Kuanzia leo nitawapinga wote wanaopinga UFISADI na MAFISADI kwani mafisadi wamekuwa ndio waajiri wetu kwa sasa.
Kutokana na ufisadi na mafisadi Kuongezeka na upigaji wa pesa ya Umma kuwa mkubwa. Ushahidi ripoti ya CAG. Mzunguko wa fedha umeongezeka Mitaani.
Kutokana na ufisadi huo Mafisadi Wamekuwa na miradi mingi na wamefungua biashara nyingi kiasi ambacho wamezitawanya fedha zao mitaani kwenye miradi yao na kuongeza Mzunguko wa Fedha.
Mafisadi wanajenga majumba, Mafundi mbalimbali tumepata kazi za kuwajengea Mafisadi wamefungua Viwanda, Wananchi tumeajiriwa.
Mafisadi wamenunua magari, Malori Mabasi, Daladala, Bodaboda, Bajaji, Madereva tumepata ajira ili mradi Wananchi tupo busy na Shughuli za Mafisadi.
Ufisadi umekuwa mkombozi kwa sisi Watu wa Chini ili mradi uwe na Ujuzi na nguvu zako.