Msemaji wa serikali Msigwa kaita waandishi kutoa "ufafanuzi" wa serikali kuhusu mkataba wa bandari, alipomaliza akasema:
Kwa hiyo ndugu zangu naombeni muwaambie Watanzania dhamira ya serikali...
Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake
Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi,
Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu?
Kwanini...
GTs,
Kwenye mambo ya mikataba Rais Dkt Samia siyo mwanasheria ana wasaidizi wake na tena kuna Professor wa Sheria Professor Kabudi alimteua ndiyo kigogo wa mikataba yote. Hata huu wa Bandari...
Habari,
Hili suala la bandari yetu pendwa ya Dar es salaam kupewa waarabu mbona kama imekaa kimtego sana aiseee.
Unajua tukumbuke kulikuwa na VuguVugu la kuamsha moto wa katika before 2025 na...
MH. RAIS,
POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi...
Kipindi Musiba anawatukana viongozi mbalimbali, Maaskofu na Mashehe walikula buyu wakakaa kimya.
Muda wa kugeuza kibao kwa Musiba ulipowadia, hao watu walitoka mafichoni na kupaza sauti ya...
Wafanya biashara wa mahindi wamejikuta kwenye wakati mgumu sana kwenye mpaka wa Tanzania na Kenya baada ya kuambiwa vibali vyao vimeisha lakini hata baada ya kununua vibali vipya mtandaoni bado...
Yaani unampa mzazibar wizara ambayo sio ya muungano then anaanzisha mchakato na kusimamia majadiliano ya kuuza mali ya watanganyika kwa niaba ya watanganyika wakati yeye ni mzazibar.
Mama...
Redemption song
Zion train
African unite
Stand up
Kwanini nmemkumbuka Bob Marley? Ni kutokana na sekeseke la DUBAI PORTS WORLD. Gwiji huyu wa jamaica mistari yake ilijaa falsafa za ukombozi wa...
Sisi ili mradi uhuru wetu wa kuongea na kupiga makelele usizuiliwe tu, vinginevyo wewe hiyo bandari ipige mnada tu.
Hawa watanzania wala siyo watu serious hata punje, kama unavyoweza ukadhani...
Binafsi najiuliza kama tunashindwa kuendesha bandari zetu ni kipi tunaweza?
Sifa kubwa ya serikali ni kuwa na taarifa nyingi za wabadhilifu ambao hawachukuliwi hatua zozote sasa je kwa minajiri...
Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE...
Moja ya mbinu ambazo hutumika na 'wawekezaji' wenye nia ovu ni kuandaa safari za nje ya nchi za 'kuwaelimisha' wafanya maamuzi wa nchi husika.
Safari hizi huambatana na ukarimu wa hali ya juu...
Ukisoma kifungu cha 25 (1) cha Makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na Wawekezaji wa Bandarini utaona kwamba Mkataba huo ulianza mara moja baada ya Kusainiwa.
Kifungu kinasema hivi, nanukuu...
Naomba kuwasihi viongozi wote wa dini nchi Tanzania kuandaa siku maalum kuliombea taifa na kuwashtaki kwa Mungu wahusika wote kwenye ubinafsishaji huu utakaolitumbukiza taifa shimoni hadi vizazi...
Moja ya vitu nitavyoendelea kumlaumu Hayati Magufuli ni kufanya bunge kuwa la chama kimoja, kuna suala la bandari kubinafisishwa naona wabunge wanashangilia tu, unabinafisha Kwa miaka 100?
Maana...
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa zinazoeleza kuwa wabunge 10 walioenda Dubai, walipewa ofa ya kutalii huko Dubai kwa gharama za mfalme wa huko.
Inaelezwa kwamba wabunge wote 10 walioalikwa...
Katiba yetu ya sasa, ni mbovu sana, na kwa kweli anayeshabikia kuwa hii katiba ya sasa iendelee, ni mnafiki, na adui mkubwa wa Taifa letu. Na anayechelewesha kupatikana kwa katiba mpya, ni shetani...
Kesho wabunge watapitisha mkataba wa kimangungo kuhusu bandari yetu. Rais na bunge wameamua kubariki umwagikaji damu ya watanzania bila sababu.
Hiyo damu itakayomwagika Allah ataihitaji mikononi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.