Muungano na Mwenge hakuna Rais wa JMT atakayekubali Vifie mikononi mwake labda atakapokuja Rais kutokea Upinzani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Hakuna Rais wa JMT kutokea CCM atakayekubali kuvunja Muungano au kufuta Mbio za Mwenge

Labda pale atakapokuja Rais wa kutokea Vyama vya Upinzani mwenye Misimamo kama Rev Mtikila RIP

Mlale unono!
 
Tukivunja Muungano na tunafuta mbio za Mwenge.....
Ili 'tugawane mbao" vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom