Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Juzi kwenye mjadala kuhusu Bandari,nilimsikiliza Mbunge wa Biharamuro akiwataka wananchi kuwaamini wabunge wao(spika pia akakazia). Ezra anasema this time around wabunge hawatawakilisha mawazo na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima "Mimi niko thabiti kwenye mambo ya Ubunge wangu, sikuwa Mbunge ili niuze sura na sikuwa Mbunge ili ‘nidundulize’, lengo langu ni kusaidia watu...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi hii mifumo ya kiutawala hapa duniani na nchini kwetu huwa ina siri gani ndani yake? Mfano kwa hapa Tanganyika, watu milioni 60 wanalia na kusaga meno, tena huku wakiwapigia magoti Watu...
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Katika hili sitakuwa mnafiki kama nitapongeza sekta ya afya.Sitakuwa mnafiki kama nitampongeza mama kwa kuupiga mwingi. Leo kuna taarifa inasambaa mitandaoni kuwa Taasisi ya utafiti ya maswala ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MATEMBEZI YA KUIMARISHA MUUNGANO, KUHAMASISHA UTALII WA NDANI NA KUPINGA VIASHIRIA VYA KUWAGAWA VIONGOZI WA KITAIFA Kundi La JAMII MPYA TANZANIA likujumuisha wanachama wake zaidi ya 300 kutoka...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Si lazima kila rais amalize miaka 10 madarakani, si lazima rais kukatishwa madaraka kwa kifo ili kuandika historia, bali tunaweza kuandika historia ya kipekee na ya kimakusudi mwaka 2025 kwa...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Waziri Mkuu, Cassim Majaliwa, alitoa hotuba zuri kuwaalika watanzania kutoa mawazo kuhusu mkataba wa DP World ili serikali iyapokee na kuyachambua. Lakini sasa ni kama bosi wake anamkana. Jana...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwenye Bajeti nimemsoma Waziri wa fedha Dr Mwigullu PhD akiondoa ile kero ya Kodi mara mbili kwa Mizigo ya Bara inayopitia Zanzibar Kadhalika inaeleweka kwamba TPA itakuwa na Mwekezaji wake...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania ni Nchi yenye Katiba. Katiba ndio kila kitu katika uendeshaji wa nchi. Hakuna aliye juu ya Katiba. Viongozi huapa kuilinda, kuihifadhi na kutenda kazi zao kwa Mujibu wa katiba. Sifa za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama mzalendo katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliruhusu nizaliwe, naona kabisa kwamba hili suala la mkataba kati ya Serikali yetu na DP World ya Dubai, itakuwa kipimo cha uzalendo ambao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumewafukuza wamasai Loliondo ili kuwapa waarabu kupaendeleza, tupo kwenye hatua za mwisho kuwapa DP World bandari zote za Tanganyika kuziendeleza, kuna tetesi kuwa misitu yote pia tumewapa...
2 Reactions
15 Replies
997 Views
Wadau nawasabahi. Niwaombe Viongozi wetu wasome Kitabu cha Mithali Kifungu cha 11 Mstari wa 14 ili suala la Bandari yetu lipate baraka za Mungu. Kifungu hicho kinasomeka ifuatavyo 'Pasipo...
1 Reactions
6 Replies
889 Views
Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Count down ya wazalendo wa Taifa iendelee tutambue maoni ya waliotangulia kuliona jua wana vision gani kwa wajukuu wao; tumemsikia Mzee Warioba akionyesha wazi kwamba kuna shida kwenye eneo la...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali imesema inatumia nguvu kubwa kuutetea Mkataba wa Bandari na DP World kwa sababu Wale Wanaopotosha wanatumia nguvu kubwa sana. Akijibu swali la mwandishi wa Habari Msemaji wa Serikali...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Msemaji wa Serikali mh Msigwa amesema Bandari ilikuwa inaingiza faida ya takribani tsh 120 bilioni tu na TICTS Ilikuwa inaingiza tsh 300 bilioni tu na Bandari ina Magati 12 Msigwa amesema...
4 Reactions
85 Replies
7K Views
Wanabodi Niko hapa ukumbi wa hoteli ya Serena, jinini Dar es Salaam, kwenye mjadala wa kujadilli ubinafshaji wa Bandari, kwa kampuni ya DPW ya mwarabu wa Dubai, ulioandaliwa na taasisi mpya...
11 Reactions
81 Replies
6K Views
Kuna mambo yanatokea nchi hii, mpaka unajiuliza nchi ina laana gani hata ishindwe kuwapata viongozi wenye upeo wa kuyaona matatizo, kuyatafakari, na kisha kuyatafutia ufumbuzi sahihi. Viongozi wa...
21 Reactions
124 Replies
9K Views
Back
Top Bottom