Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti .
NCCR Mageuzi ni better option ,Nguvu kubwa ikiwekwa katika Chama hiki hilo linawezekana -tatizo Chama hiki ni nusu mfu binafsi nnahitaji kadi yao ila hata sijui ntapata wapi .
Swali ni njia zipi ?
Je tudai kwa nguvu katiba mpya tupate tume huru ?
Je tutumie nguvu kubwa kila mtu atoe elimu ili watanzania wengi waikatae CCM na kazi zake ?
Je uwekwe mgomo baridi wa kutohudhuria au kutokufuatilia tukio lolote linalofanywa na CCM ?
Je tuhamasishane kwenda kupiga kura kwa wingi ?
Je tufunge na tumuombe Mungu aingilie kati ?