Watumishi wa Umma watakiwa kujinunulia sare wenyewe kuhudhuria Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dodoma

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,566
Habari ndugu zangu,

Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma.

Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa Dodoma Fahari ya Watanzania na wazinunue sare hizo kwa pesa zao wenyewe.

Tangazo limekaa kimamlaka sana.

Je, kuna kitu Watumishi wanapata tokea mikutano hii mpaka walazimike kujinunulia sare?

Jionee tangazo hili hapo chini:

1687549582862.png
 
View attachment 2666778
Watu wanajininulia sare kila siku. Na mikutano hiyo huwa haifanyiki bila wao kupewa hela.
 
Habari ndugu zangu,

Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma.

Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa Dodoma Fahari ya Watanzania na wazinunue sare hizo kwa pesa zao wenyewe.

Tangazo limekaa kimamlaka sana.

Je, kuna kitu Watumishi wanapata tokea mikutano hii mpaka walazimike kujinunulia sare?

Jionee tangazo hili hapo chini:

View attachment 2666778
Hili tangazo linaonekana ni specific kwa ajili ya ofisi fulani. Ina maana Watumishi wote wa Umma wanamfahamu huyo Aziza????
 
Hilo tangazo limeandikwa na CCM kwenda Kwa hao wafanyakazi au na wafanyakazi kwenda Kwa wafanyakazi au na "muhuni" tu ambaye hajui hata anachofanya?
 
Kuna umuhimu gani wa kulazimisha watumishi wavae hizo sare kama haiwezi kuwanunulia?

Wakija na mavazi yao ya kila siku patapungua nini?
 
Habari ndugu zangu,

Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma.

Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa Dodoma Fahari ya Watanzania na wazinunue sare hizo kwa pesa zao wenyewe.

Tangazo limekaa kimamlaka sana.

Je, kuna kitu Watumishi wanapata tokea mikutano hii mpaka walazimike kujinunulia sare?

Jionee tangazo hili hapo chini:

View attachment 2666778
KUNA SIKU MAVAZI YA CCM ITAKUWA VAZI LA WATUMISHI WA UMMA NA WABUNGE
 
Back
Top Bottom