Bunge lisiloheshimu katiba lina wabunge wasio na chama, litafutiwe mwekezaji

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Tanzania ni Nchi yenye Katiba.

Katiba ndio kila kitu katika uendeshaji wa nchi. Hakuna aliye juu ya Katiba.

Viongozi huapa kuilinda, kuihifadhi na kutenda kazi zao kwa Mujibu wa katiba.

Sifa za kuwa Mbunge:
1. Ajue kusoma na Kuandika
2. Awe Mwanachama wa chama cha siasa. Agombee ubunge kwa kupendekezwa na Chama chake.
3. Awe Raia wa Tanzania.

Lakini bunge la Tanzania lina bahati ya kuwa na wabunge ambao hawakupendekezwa na chama chao kugombea Ubunge lakini Wamepewa Ubunge.

Walifukuzwa Uanachama wao katika Chama chao lakini hawakupoteza Ubunge, huu ni Ukiukwaji Mkubwa wa katiba ya Nchi.

Serikali ipo kimya.
Bunge lipo kimya.
Mahakama inapiga danadana kesi.

Kwa ukimya huo wa mihimili yote 3
nimeacha kabisa kuamini kuwa Utawala wa Sheria upo Tanzania.

Huwezi kuna na Utawala wa sheria kama katiba haiheshimiki na inachezewa.

JamiiForums-1998729802.jpg
1652427482224.jpg
 
Tanzania ni Nchi yenye KATIBA.KATIBA ndio kila kitu katika UENDESHAJI wa NCHI.
Hakuna aliye juu ya Katiba
VIONGOZI Huapa kuilinda kuihifadhi na kutenda kazi zao kwa Mujibu wa KATIBA.
SIFA za kuwa Mbunge
1 Ajue kusoma na Kuandika
2 awe Mwanachama wa CHAMA cha siasa
Agombee UBUNGE kwa kupendekezwa na Chama chake.
3.Awe Raia wa Tanzania.
Lakini BUNGE la TANZANIA lina BAHATI ya kuwa na WABUNGE ambao hawakupendekezwa na CHAMA chao kugombea Ubunge lakini Wamepewa UBUNGE
Walifukuzwa Uanachama wao ktk Chama chao lakini HAWAKUPOTEZA UBUNGE huu ni Ukiukwaji Mkubwa wa KATIBA ya NCHI
SERIKALI ipo KIMYA
BUNGE lipo KIMYA
MAHAKAMA inapiga danadana KESI.
Kwa ukimya huo wa MIHIMILI tote 3
NIMEACHA kabisa kuamini kuwa Utawala wa Sheria upo Tanzania .Huwezi kuna na Utawala wa SHERIA kama KATIBA HAIHESHIMIKI na INACHEZEWA.View attachment 2668090View attachment 2668092
🤣🤣🤣🤣 hako kalichokamata shingo na kana.....ni ka nani aisee🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Katuni katuni
 
Back
Top Bottom