MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 929
- 1,310
Wadau nawasabahi. Niwaombe Viongozi wetu wasome Kitabu cha Mithali Kifungu cha 11 Mstari wa 14 ili suala la Bandari yetu lipate baraka za Mungu.
Kifungu hicho kinasomeka ifuatavyo
'Pasipo Mashauri Taifa huanguka, Bali kwa Wingi wa Washauri huja Wokovu'
Mkataba wa Bandari, Wananchi wote tushauriane ili Taifa letu lisimame kwani Uwingi wetu katika Mashauri Taifa litapata wokovu.