Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 55, leo Juni 26, 2023. Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mwigulu Nchemba amesema fedha zinazopelekwa kwenye Mikopo ya Elimu ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo. Ukitaka kujua akili za Magufuli au...
13 Reactions
77 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini. Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania. Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Mnaonaje DP World ikiamrishwa kulipa madeni yote ya wanafunzi wa elimu ya juu wanayodaiwa na bodi ya mikopo? Wakishalipa ndo tukae sasa tuwape terms na conditions zetu kuhusu bandari, then tuwape...
2 Reactions
12 Replies
973 Views
Sijawahi kua muumini wa John Magufuli hata siku moja na siwezi kua, lakini leo kwenye sherehe za kuadhimisha siku ya dawa za kulevya nimeona kwanini magufuli alitumia matatizo ya watu kujijenga...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi...
20 Reactions
93 Replies
8K Views
Nimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari. Nimewasikia baadhi...
23 Reactions
116 Replies
8K Views
CDM ni chama chenye uuchwara mwingi sana, na wala siyo chama cha maana. Lakini kwenye uuchwara huo nashangaa wameshindwaje kuwateka wakulima ukiaangalia jinsi mkulima wa nchi hii anavyoteseka...
0 Reactions
7 Replies
675 Views
Je mnakumbuka kitabu cha Dr. Harith Ghassany aliyeandika kitabu chake cha Kwaheri Ukoloni kwaheri Uhuru, ambacho Mzee wetu Mohamed Said(Yumo humu) alikuwa ni research assistant wa kitabu hicho...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Tangu chekechea mpaka Chuo kikuu tumefundishwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ndio uliozaa Tanzania Apri 26,1964. Hii ni ndoa ya Nchi 2 zilizokuwa na hadhi Sawa kimataifa na Kila moja...
10 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukiifikiria vizuri kauli ya bwana Mbowe aliyoitamka eti HATA WATU WA USALAMA WA TAIFA NA VIONGOZI NDANI YA CCM wanamtaka alisemee hilo jambo la BANDARI ni wazi unang'amua pengine upo usaliti wa...
7 Reactions
56 Replies
4K Views
Nilichokigundua ni kwamba ni kosa kubwa sana kwa serikali kuwatupia hoja ya mikataba kama hili la Bandari kwa wananchi eti wajadili na kutoa ushauri. Hili ni kosa kubwa sana kwa vile mikataba kama...
10 Reactions
74 Replies
3K Views
Ni Juzi TAMISEMI imetoa mkeka wa wanafunzi wanaojiunga kidato cha Tano!! Niajabu kama taifa hatushtushwi na idadi ndooogo ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya A level!! Taifa la watu milioni 61 na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku amemwambia Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, watafanya hivyo kwasababu kwa miaka 7 mfululizo, serikali imekuwa ikitenga fedha kwa ajili ya...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Ndugu zangu watanzania, Kuwa kiongozi na kuitwa kiongozi hasa Rais wa nchi siyo mchezo mchezo,siyo sawa na kuwa Rais wa Bendi ,siyo sawa na kuwa kocha wa club ambapo wakati Mwingine juhudi...
4 Reactions
103 Replies
4K Views
Mh Rais nianze Kwa kukupa pole Kwa uchovu wa majukumu, maana Jana nilikuona kwetu Zanzibari, Leo nmekuona bara pale Arusha na wazee wa kitu ya Arusha. Mh Rais sijui kesho utakuwa wapi ila napatwa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika awamu hii ya sita ya uongozi wa Tz, Wazanzibar wamejikuta wana marais wawili huku Watanganyika wakiwa watupu. Hata Makamu wa Rais wa Tz hakuwahi kuchaguliwa kwa kura na Watanganyika. Ni...
1 Reactions
8 Replies
880 Views
Je, ni kwanini mwanasheria mkuu sio sehemu ya watia saini mikataba inayohusu nchi mbili? Na kama sio sehemu ya mtiaji saini tutathibitisha vipi kwamba mwanasheria mkuu amehusika katika kuangalia...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wamiliki wa taasisi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinazotoa misaada nchini kuhakikisha wanazingatia...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom