Na Ezekiel Kamwaga
KWA mujibu wa wanasayansi, dunia yetu ina umri wa takribani miaka bilioni nne na nusu. Katika miaka hiyo, nchi iitwayo Tanganyika imedumu kwa muda wa takribani karne moja tu –...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Maadhimisho ya Kitaifa a Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani yanayofanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya...
Ni swali tu kwenu viongozi wetu hasa kuhusu hili la DP world kupewa Bandari zote za Tanzania Bara.
Wananchi hamtaki waandamane maana wakifanya hivyo mnawaona ni kama wanyama wasiostahili kuishi...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe 2020 Mwijaku wa CCM amemlaumu Roma Mkatoliki kwamba Kazi yake ni kukosoa tu na hapongezi kitu.
Mwijaku amesema yeye binafsi halali anapoona Wananchi hawana Maji...
MHE. TABASAMU HAMISI AMTIA MOYO MWIGULU AMUAMBIA AWE NA NGOZI NGUMU TU
"Leo niko kizalendo zaidi, kuna watu ni majemedari wa kupiga kelele na kuzungumza sana maneno makali kwenye mitandao, Waziri...
Habari wana JF,
Sio mwandishi sana wa mada jukwaa hili ila nimoeona ni jambo la msingi sana na linahitaji mjadala mpana wa kitaifa. Ni matarajio yangu post hii ifungue mijadala Bungeni na...
Serikali inawatumia waandishi wa habari wasio waadilifu. Inawatumia wasanii wasiojitambua. Inawatumia wanasiasa wasiojitambua na wasio na upeo kugeuza suala la nchi kuuzwa kwa waarabu ni jambo la...
Jumamosi, Juni 24, 2023.
Kibaha, Pwani.
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa Ndugu Ramadhani Mwinshehe Mlao ( MNEC ) ameshiriki kama Mgeni Rasmi Katika Ufunguzi wa Baraza la...
'
Vice President watamwonea tu maskini wa Mungu na yule baba ni mcha Mungu mno kamwe hawezi kuhongeka.'
' Nakumbuka hata siku lile anakutana nao wasaidizi wake wote aliwaasa kuwa makini kwenye...
"Badala ya kutuletea Kodi ya Mapato ya 2% tuwekeeni ya Asilimia 1 mtujaribu kwanza wachimbaji wa madini tuone kama inatekelezeka hii 1% kwanza mkileta asilimia mbili watu wataona ni kubwa na...
Nimefuatilia mahojiano ya Profesa Anna Tibaijuka na Kituo cha Wasafi kuhusu sakata la mkataba wa ki.pu.mbavu ambao Nchi yetu imeingia na Dubai hivi karibuni!
Mahojiano hayo yaliongozwa na Edo...
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha...
Mjadala wa mahindi inashika kasi bungeni namuona spika Tulia Ackson akiitetea serikali kuhusu sakata la kufungwa kwa mipaka kuzuia usafirishaji wa mahindi nje ya nchi.
Kinachonishangaza ni spika...
UVCCM, Bavicha, Ngome ya Vijana nk tafuteni maarifa kwa bidii, kuweni na maono Dunia hii ni ya Kizazi chenu.
Mnaweza kuwaamini Wanasiasa Wazee lakini wao walishamaliza Maisha yao ya huko Mbele...
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dennis Londo ameupongeza uongozi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa kuwekeza miundombinu...
Nimesikiliza jana michango ya wabunge kwa mara nyingine kuhusu suala la Bandari.
Wabunge huwa wanafikiri kwa vile wao wana kipaza sauti, basi wana akii sana, siyo hivyo.
Wabunge waeelwe kuwa...
Juzi kwenye mjadala kuhusu Bandari,nilimsikiliza Mbunge wa Biharamuro akiwataka wananchi kuwaamini wabunge wao(spika pia akakazia). Ezra anasema this time around wabunge hawatawakilisha mawazo na...
Kauli za Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima "Mimi niko thabiti kwenye mambo ya Ubunge wangu, sikuwa Mbunge ili niuze sura na sikuwa Mbunge ili ‘nidundulize’, lengo langu ni kusaidia watu...
Hivi hii mifumo ya kiutawala hapa duniani na nchini kwetu huwa ina siri gani ndani yake? Mfano kwa hapa Tanganyika, watu milioni 60 wanalia na kusaga meno, tena huku wakiwapigia magoti Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.