Nchi inaelekea kuwa ngumu sana kwa Rais Samia kuanzia sasa na baada ya 2025

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,555
Nimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari.

Nimewasikia baadhi ya watumishi wa serikali wakisema, “hiki ni kipindi cha mteremko, ni wakati wa kupiga hela”.

Kuna hisia za nchi “kupigwa mnada”. Hili limekuwa doa kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa rais Samia na pengine kwa kipindi chote cha uongozi wake, ambao pengine ukaishia 2025 au mapema!

Wananchi wameonesha waziwazi hofu yao dhidi ya mkataba wa bandari zetu lakini hata hivyo serikali haijaonesha utayari wa kuondoa hofu hii.

Viongozi wa serikali wametumia wakati huu kutekeleza utaratibu usio na tija kwa taifa. Mfano zuio la kuuza chakula nje ya nchi limetokea ghafla malori yakiwa tayari mpakani na wafanyabiashara wanalalamika hasara kubwa. Bei ya mahindi mikoa ya kusini imeshuka ghafla kutoka 75,000 hadi 25,000 kwa gunia na wakulima wamekata tamaa. Wanepoteza imani kwa uongozi wa nchi.

Udini na Uzanzibari vinetawala leo na wengi waneonesha kutokuwa na imani na muungano. Hakuna wakati muungano wetu umebezwa kama katika kipindi hiki kifupi cha June 2023. Mpaka wamesikika viongozi wakubwa kutoka Zanzibar wakisema basi ikibidi “tugawane mbao”.

Msururu wa mikataba yenye hisia za “kupigwa” ndio jambo kubwa linalotawala kwasasa. Kwa kiasi kikubwa sana imani ya watanzania kwa rais Samia imeshuka sana. Watu wengi mtaani wanahoji uwezo wa rais Samia kuongoza nchi yetu.

Tunapoelekea 2025 tutarajie hali ngumu zaidi kwa uongozi wa rais Samia kwani wapo walio pamoja nae katika uongozi lakini wana hamu ya kuona anashindwa ili wapate nafasi ya kuongoza.

Mambo mengi serikalini hayaendi vizuri na maafisa wengi wa serikali wanafurahia kipindi hiki cha “mteremko” , wafanyakazi wengi serikalini wamerelax na wamerudi kufanya kazi kwa mazoea kwani wana uhakika wa kutowajibishwa.

Rais Samia anahitaji busara na hekima za hali ya juu. Nahisi kwamba kuna wakati itabidi awe mbabe kama mtangulizi wake ili kuleta adabu nchini. Lakini hataweza kuyafanya hayo pasipo kuharibu heshima na haiba yake machoni pa watanzania na jumuiya ya kimataifa.
 
B2EE4E1B-0AB5-49B2-84AB-7413D650AA8B.jpeg
 
Hiyo bei umeitoa wapi, Hujamsikia Bashe Jana Bungeni ? Kakuambia bei elekezi ni 800@kg na kwa gunia 80000, sasa hiyo Yako ya 25000 umeitoa wapi? Acheni ujinga kama unaona unapata hasara usilime hujalazamishwa.
Sisi wakulima huku Njombe ndio tunauza hivyo wewe huko Menzese unajua taabu tunazopata mtu uuze gunia 10 ndio upate 250,000/- wakati gharama za kuzalisha kiasi hicho ni 500,000/-?! Kwanini nyie wavivu huko Buguruni mnafurahia mateso ya wakulima wetu?
 
Nimeanza kuona kila dadili za rais Samia kuelemewa na uongozi wa nchi hii. Yapo mengi ya hovyo yanaendelea wakati huu watu wakiwa wameweka macho yao kwenye sakata la bandari.

Nimewasikia baadhi ya watumishi wa serikali wakisema, “hiki ni kipindi cha mteremko”.

Kuna hisia za nchi “kupigwa mnada”. Hili limekuwa doa kubwa zaidi kuwahi kutokea kwa rais Samia na pengine kwa kipindi chote cha uongozi wake. Wananchi wameonesha waziwazi hofu yao dhidi ya mkataba wa bandari zetu lakini hata hivyo serikali haijaonesha utayari wa kuondoa hofu hii.

Viongozi wa serikali wametumia wakati huu kutekeleza utaratibu usio na tija kwa taifa. Mfano zuio la kuuza chakula nje ya nchi limetokea ghafla malori yakiwa tayari mpakani na wafanyabiashara wanalalamika hasara kubwa. Bei ya mahindi mikoa ya kusini imeshuka ghafla kutoka 75,000 hadi 25,000 kwa gunia na wakulima wamekata tamaa. Wanepoteza imani kwa uongozi wa nchi.

Udini na Uzanzibari vinetawala leo na wengi waneonesha kutokuwa na imani na muungano. Hakuna wakati muungano wetu umebezwa kama katika kipindi hiki kifupi cha June 2023. Mpaka wamesikika viongozi wakubwa kutoka Zanzibar wakisema basi ikibidi “tugawane mbao”.

Msururu wa mikataba yenye hisia za “kupigwa” ndio jambo kubwa linalotawala kwasasa. Kwa kiasi kikubwa sana imani ya watanzania kwa rais Samia imeshuka sana. Watu wengi mtaani wanahoji uwezo wa rais Samia kuongoza nchi yetu.

Tunapoelekea 2025 tutarajie hali ngumu zaidi kwa uongozi wa rais Samia kwani wapo walio pamoja nae katika uongozi lakini wana hamu ya kuona anashindwa ili wapate nafasi ya kuongoza.

Mambo mengi serikalini hayaendi vizuri na maafisa wengi wa serikali wanafurahia kipindi hiki cha “mteremko” , wafanyakazi wengi serikalini wamerelax na wamerudi kufanya kazi kwa mazoea kwani wana uhakika wa kutowajibishwa.

Rais Samia anahitaji busara na hekima za hali ya juu. Nahisi kwamba kuna wakati itabidi awe mbabe kama mtangulizi wake ili kuleta adabu nchini. Lakini hataweza kuyafanya hayo pasipo kuharibu heshima na haiba yake machoni pa watanzania na jumuiya ya kimataifa.

Lucas mwashambwa chawa mbobevu sasa hivi anakuja.
 
Uliyoyasema ni sahihi sana. Lakini hakuna wa kumshauri. Amezungukwa na watu wanafiki ambao wanachojua ni kumpoteza zaidi kwa kumpamba kwa sifa za ajabu hata pale anapofanya maamuzi yasiyo na tija.

Hajang'amua kuwa wanaompamba kwa sifa za ajabu kwa kika jambo, ndio maadui zaje wakubwa wanaofanya kazi ya kumwangamiza.
 
Hiyo bei umeitoa wapi, Hujamsikia Bashe Jana Bungeni ? Kakuambia bei elekezi ni 800@kg na kwa gunia 80000, sasa hiyo Yako ya 25000 umeitoa wapi? Acheni ujinga kama unaona unapata hasara usilime hujalazamishwa.
Bashe ni mpuuzi na mwongo mkubwa. Kama una ndugu au rafiki yako yeyote, piga simu mwulize mahindi yanauzwa shilingi ngapi huko vijiji vya mkoa wa Ruvuma au Njombe, maana huko ndiko kuliko na uzalishaji mkubwa wa mahindi.

Hawa viongozi wetu, hata siku moja usiwaamini wanachotamka, mpaka umehakikisha toka source nyingine, hasa kutoka field.
 
Back
Top Bottom