Huyu Mbunge alijichukulia umaarufu bungeni na mitandaoni kwa kubwabwaja hovyo bila facts akijifichia kichaka kwamba ni darasa la saba
Lengo lake lilikuwa ni kujipenyeza kwenye ulaji ili wezi...
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO), je...
Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu?
Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje...
Mahakama ya Rufaa nchini Uingereza imetoa hukumu inayosema zoezi la kuwapeleka Wahamiaji haramu nchini Rwanda halikuwa halali na kwamba Rwanda siyo Nchi salama
Rwanda wamepinga vikali wamesema...
Baada ya miaka 22 ya kufanya kazi bandarini, TPA waliamua kutoingia tena mkataba na TICTS.
Wawekezaji hao walianza kazi kipindi cha awamu ya 3 ya urais wa hayati mzee Benjamin Mkapa.
Serikali...
Ukimuona Maulid Kitenge anavyojimina kuzitaja faida za uwekezaji za bandari mpaka unaona hivi huyu ni chizi fresh? Anaongea yasiyokuwepo, anyway siwezi bisha hilo ila swali langu ni kwamba nchi...
Spika wa bunge, msemaji wa serikali na Waziri mkuu wanamjibu nani kuhusiana na hili sakata la bandari kuuzwa?
Je wanawajibu wananchi au Wabunge waliuopotasha umma au wanawajibu DP World...
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa...
TICTS wamekuwepo pale kwa miaka 22 toka kipindi cha uongozi wa hayati Mkapa.
TPA walio na haki ya usimamizi wa bandari zetu nchini wanajiandaa kuwapokea DPW ambao wanakuja na "Era" mpya...
MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA
"Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe...
Amini usiamini hili bunge letu ni la Wafanya Biashara siyo Bunge la wananchi. Asilimia 80 ni Wafanya Biashara wakubwa and not start ups.
Mfanya Biashara ni mtu ambaye all the time anawaza cash...
Kumekuwa na upotoshaji wa kimakusudi unaofanywa na spika, baadhi ya wabunge, viongozi wa serikali na wapiga debe wengine wa sakata la Bandari kupewa DP world.
Wapiga debe hao wamekuwa wakisema...
UTANGULIZI:
Kwa taaluma yangu kama mwanasheria nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kweli kuwa ule ndio ushauri wa kisheria (legal opinion, or legal memorandum) uliotolewa na watalaamu wetu wa kisheria...
Nitasema kweli daima , Fitna kwangu mwiko .
Miaka ya nyuma kidogo , kabla awamu ya 5 , Uteuzi wa Mabalozi waliowakilisha nchi yetu ulizingatia uwezo wa Mteuliwa katika masuala ya kimataifa...
Wachina wanamiminika kuja kufanya Biashara nchini kwa sababu tuna Mkataba wa Ushirikiano wa Nchi zetu
Kwa mfano Tanzania tuna Balozi Nigeria na Nigeria ina Balozi wake hapa nchini lakini ATCL...
Tuliopo ndani ya chama kwa miaka mingi sana hii ndio kanuni, Mwenyekiti wa CCM Taifa yaani Rais wa Tanzania kichama ana mamlaka kuu tatu ndani ya CCM
1.Yeye ndiye sheria
2.Yeye ndiye Taratibu...
DP world, Tanzania tumefurahishwa na ujio wenu kwani hata matajiri wakubwa Dar wana asili ya uarabu na uhindi,Tunategemea mji kubadilika na watu kuhama katikati ya mji kupisha majengo ya kisasa ya...
Vijana hakuna kitu cha bure kwenye maisha ,lazima ulipe gharama kwa unachokihitaji
Anayeandaa mtaala mpya wa elimu kwa vijana yeye mwenyewe hauamini mtaala kama unatekelezeka na wala hana uhakika...
Imefika wakati najiuliza, hivi angekuwa ndio Mama yangu anapigwa spana namna hii non- stop ningejisikiaje? Nimejikuta namuonea huruma tu huyu mama, maana anaweza kuwa mama yangu mzazi kabisa...
Baada ya kuona report ya CAG hakuna walichoingiza mfukoni au familia zao kubadilika sasa wanajadili bandari. Kelele za bandari nazo baada ya watu kuona hawaingizi chochote mfukoni sasa wanajadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.