DP World ilipe madeni yote ya wadaiwa wa bodi ya mikopo (HESLB)

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,552
Mnaonaje DP World ikiamrishwa kulipa madeni yote ya wanafunzi wa elimu ya juu wanayodaiwa na bodi ya mikopo?

Wakishalipa ndo tukae sasa tuwape terms na conditions zetu kuhusu bandari, then tuwape bandari ya zanzibar kwa miaka 50, wakifanya vizuri tutawapa bandari zetu zote za Zanzibar.
 
Ona hii Nguruwe yenye mimba.

Wakati unanunua masabufa na huo mkopo wa HESLB DP World walikuwepo????

Acha ungese
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Mnaonaje DP World ikiamrishwa kulipa madeni yote ya wanafunzi wa elimu ya juu wanayodaiwa na bodi ya mikopo?

Wakishalipa ndo tukae sasa tuwape terms na conditions zetu kuhusu bandari, then tuwape bandari ya zanzibar kwa miaka 50, wakifanya vizuri tutawapa bandari zetu zote za Zanzibar.
wewe ni mwanaume kabisa unataka waarabu wakulipie deni? utalilipa loote kama wenzako walivyolilipa. na kuna wengine wanaendelea kukopa hata leo watalipa kwasababu hakuna dp world ingine ya kuiomba hivyo huko mbeleni. shwain!
 
Back
Top Bottom