Ogopa kukataliwa na watu; Nassari amepoteza mvuto na hoja sidhani kama huko kwao watampa hata uongozi wa kijiji akiomba kura

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania.

Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na hali iliyopo ndani ya chama tawala.

Nassari ameshindwa kuonyesha uwezo kama mkuu wa wilaya pote akiwa Mara na hata leo Monduli. Amekaa kimya sana, wananchi wamemkataa, amekosa mfariji kwa sababu ndani ya CCM hapewi platform ya kuonyesha utendaji na mtaani amepoteza marafiki wote aliokuwa nao.

Naamini amebaki na familia yake pekee; ndani ya CCM anaonekana kama mtu aliyekuja kuchukua nafasi zao za utawala. Mhe. Rais amejitahidi kumpa nafasi leo huko Arusha ameishia kusali hana mvuto tena.

Naamini bado anazo akili ila atazitumia wapi? Umri unakwenda kama ambavyo umri wa vijana wengi unakwenda; vipaji walivyopewa na Mungu wanashindwa kuvitumia kwa sababu wametekwa na watawala.

Tunahitaji brain za Nassari wa Chadema ili tuendelee kuliko tunavyohitaji brain za Nassari DC

Vijana amkeni mtapoteza nguvu nyingi kutumikia siasa kuliko kujitumikia. Bora kuishi maskini mwenye furaha kuliko tajiri wa mashaka.
 
huyo kwa sasa ashaingia kwenye system atakuwa analamba teuzi tu, Dc, mkurugenzi, Rc, balozi, n.k.

Kuhusu ubunge ndio imetoka hio
 
Ionee huruma familia yako achana na mtu anayelamba hela kibao kwenye cheo chake achilia mbali alizolamba akiwa mbunge. Cha muhimu Nasari kashajikomboa kwenye umaskini kupitia kipaji chake. Pia jamaa ni msomi hawezi kosa kazi hata kama akipigwa chini u-DC. Angepoteza tu muda wake CHADEMA kutumikia walamba asali.
 
Unamaono madago kama nzi unawaza msimu wa maembe tu.Nassar kwa brain aliyotuonesha akiwa chadema n'a umri wake alichukua uncalculated risk .haya maelezo yako ungenambia kwa kesi ya marehemu Mrema ningeelewa sana .alipiga lala salama .Mimi kuna group la wasap nko nae yaan huwa kapoteza mvuto kabisa .ukimtaja jina meru wazee wanatema mate chini (laana) .
 
Lipo tatizo ambalo linapaswa kufanyiwa utafiti. Tunaweza tukadhani tunaua vijana kisiasa kumbe tunafifisha viongozi wa kesho wa Tanzania.

Nikimwangalia Nassari akiwa Chadema na leo ndani ya CCM kuna utofauti mkubwa sana. Alipopewa na CCM hadi wakamnunua ila ameshindwa kabisa kukubaliana na hali iliyopo ndani ya chama tawala.

Nassari ameshindwa kuonyesha uwezo kama mkuu wa wilaya pote akiwa Mara na hata leo Monduli. Amekaa kimya sana, wananchi wamemkataa, amekosa mfariji kwa sababu ndani ya CCM hapewi platform ya kuonyesha utendaji na mtaani amepoteza marafiki wote aliokuwa nao.

Naamini amebaki na familia yake pekee; ndani ya CCM anaonekana kama mtu aliyekuja kuchukua nafasi zao za utawala. Mhe. Rais amejitahidi kumpa nafasi leo huko Arusha ameishia kusali hana mvuto tena.

Naamini bado anazo akili ila atazitumia wapi? Umri unakwenda kama ambavyo umri wa vijana wengi unakwenda; vipaji walivyopewa na Mungu wanashindwa kuvitumia kwa sababu wametekwa na watawala.

Tunahitaji brain za Nassari wa Chadema ili tuendelee kuliko tunavyohitaji brain za Nassari DC

Vijana amkeni mtapoteza nguvu nyingi kutumikia siasa kuliko kujitumikia. Bora kuishi maskini mwenye furaha kuliko tajiri wa mashaka.
Huyu dogo alidharau ubunge kisa ukuu wa wilaya sasa huoni ujinga wake?
 
Matatiro unamsikia tena? Alisha potea mazima, Bibafisi Mtatiro nilikuwaga namkubali vibaya mno,
 
Unamaono madago kama nzi unawaza msimu wa maembe tu.Nassar kwa brain aliyotuonesha akiwa chadema n'a umri wake alichukua uncalculated risk .haya maelezo yako ungenambia kwa kesi ya marehemu Mrema ningeelewa sana .alipiga lala salama .Mimi kuna group la wasap nko nae yaan huwa kapoteza mvuto kabisa .ukimtaja jina meru wazee wanatema mate chini (laana) .
Hahaaa, eti wazee wasio wazazi wako watakulaani!!!!#$%^. Hii mpya. Dogo sio mwenzako sasa na hata angekuwa huko chadema asingefanya lolote la maana kama ambavyo lissu hana la maana analofanya sasa. Dogo kala maisha na sasa watoto wake wana uhakika wa kula na kusoma sehemu yoyote huku duniani. Bora jamaa alivyoacha uanaharakati njaa wa CDM
 
Just imagine unakuwa mbunge unalipwa mamilioni.

Unaukimbia ubunge unaenda US Unasingizia unauguza.

Unarudi bongo unahamia CCM. Unapewa ukuu wa wilaya. Unapotea kisiasa. Huna dira tena. Hoja zako moto moto zinageuka mapambio.
Alicheza trick ya kitoto sana alafu unaenda huko marekan hutoi taarifa bungeni yaan alivunja sheria maksudi
Unarudi unajifanya unalia lia nassara sio mimi kila mtu mwenye utimamu wa akili alimshusha sana
 
Hahaaa, eti wazee wasio wazazi wako watakulaani!!!!#$%^. Hii mpya. Dogo sio mwenzako sasa na hata angekuwa huko chadema asingefanya lolote la maana kama ambavyo lissu hana la maana analofanya sasa. Dogo kala maisha na sasa watoto wake wana uhakika wa kula na kusoma sehemu yoyote huku duniani. Bora jamaa alivyoacha uanaharakati njaa wa CDM
Hakuna mahali mleta uzi amejikita kwenye maisha binafsi ya nassari ndo maana hajamtaja mke wake wala mtoto wake

Mleta uzi amejikita kwenye maisha ya kisiasa ya nassari baada ya kuhamia ccm na ndo tunajochangia wadau jikite kwenye mada
 
Wacha weee, hivi Lema ana maisha gani ya kisiasa kwa sasa? Nini lengo la hayo maisha ya kisiasa? Joyce Mukya yupo CDM, Naye ana maisha gani ya kisiasa zaidi ya kubakwa na Mbowe ili apewe ubunge? Hivi yule pimbi na mwanaharakati hewa wa Mlowo Mbeya ana maisha gani ya kisiasa? Lengo la hayo maisha ya kisiasa ni nini? Pumbavu wahead kabisa wewe.
 
Back
Top Bottom