Mwamko Mpya: Chadema yajenga ofisi za Kisasa 457 Nchi nzima

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,578
217,950
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza kwamba mpaka sasa kimejenga ofisi mpya za kisasa zinazofikia idadi ya 457, nchi nzima.

Jambo hili limefichuliwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho, John Mnyika akiwa Mkoani Rukwa kwa ajili ya mpango wa kisasa wa kusajili wanachama unaoitwa Chadema Digital.

Mnyika amedai kwamba Chadema iliona ni vema kupeleka majengo kwenye mzizi wa wanachama nchi nzima badala ya kuweka jengo moja lenye vyumba 450 Makao Makuu, na kwamba mchakato wa Ujenzi wa Makao Makuu utaanza baada ya kusimika ofisi nchi nzima.

Mungu Ibariki Chadema.

FB_IMG_1619042485662.jpg
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , kimetangaza kwamba mpaka sasa kimejenga ofisi mpya za kisasa zinazofikia idadi ya 457 , nchi nzima

Jambo hili limefichuliwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho , John Mnyika akiwa Mkoani Rukwa kwa ajili ya mpango wa kisasa wa kusajili wanachama unaoitwa Chadema Digital .

Mnyika amedai kwamba Chadema iliona ni vema kupeleka majengo kwenye mzizi wa wanachama nchi nzima badala ya kuweka jengo moja lenye vyumba 450 Makao Makuu , na kwamba mchakato wa Ujenzi wa Makao Makuu utaanza baada ya kusimika ofisi nchi nzima .

Mungu Ibariki Chadema .

View attachment 2400655
CHADEMA ni chaguo la watanzania
 
HQ ndio msingi, ndio brain ilipo, ndio mfano...

Ofisi za mikoani za cdm zina fanana na HQ ile ya ufipa

Ni kama ofisi za mikoani za ccm zinavyo fanana na HQ pale dodoma...
 
Ninachojua CDM wamejenga ofisi kadhaa hapa nchini na nyingine nimeziona kwa macho maeneo mbalimbali.

Na nyingine tulichangia kwa njia ya mpesa. Ila sina uhakika kama zipo 450. Isije ikawa mmeanza ule uongo wa CCM wa kupika data. Kama ni kweli ni jambo zuri. Sasa iwe ni kuwa na ofisi ya makao makuu yenye hadhi ya CDM.

Nakumbuka baada ya uchaguzi wa 2015 tulilisisitiza ijengwe ofisi ya uhakika.
 
Ninachojua CDM wamejenga ofisi kadhaa hapa nchini na nyingine nimeziona kwa macho maeneo mbalimbali. Na nyingine tulichangia kwa njia ya mpesa. Ila sina uhakika kama zipo 450. Isije ikawa mmeanza ule uongo wa CCM wa kupika data. Kama ni kweli ni jambo zuri. Sasa iwe ni kubwa na ofisi ya makao makuu yenye hadhi ya CDM. Nakumbuka baada ya uchaguzi wa 2015 tulilisisitiza ijengwe ofisi ya uhakika.
makao makuu yanakuja , ondoa shaka
 
Hakuna kitu kama hicho, wajenge HQ? Labda kwa pesa za wahisani sio za mfukoni au kuchanga... na zikichangwa zitaliwa tu kama zingine...

Ata magari ya M4C sijui kama yako barabarani?
 
Hakuna kitu kama hicho, wajenge HQ? Labda kwa pesa za wahisani sio za mfukoni au kuchanga... na zikichangwa zitaliwa tu kama zingine...

Ata magari ya M4C sijui kama yako barabarani?

Uko sahihi, lakini hata hivyo CCM hawana chochote cha kujivunia kuhusu ofisi, maana 80%+ ya ofisi zake ni urithi toka mfumo wa chama kimoja. Na nyingine baada ya hapo ni kutokana na kuwa madarakani.

Nitajie kiwanja chochote cha mpira ambacho CCM ilijenga baada ya mfumo wa vyama vingi.
 
Back
Top Bottom