Rais Mwinyi afungua Ubalozi mdogo wa Umoja wa Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
737
476
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua Ubalozi mdogo wa Umoja wa Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) Zanzibar.

Halfa hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Nchi anaeshughulikia Mambo ya nje Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alahyan, Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga, Balozi mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Zanzibar Saleh Ahmed, Viongozi wa chama na Serikali .

20 Februari 2023.

Ofisi za Ubalozi mdogo wa UAE - Zanzibar.View attachment 2524308View attachment 2524311View attachment 2524310

IMG-20230220-WA0210.jpg
View attachment 2524309
 
View attachment 2524312View attachment 2524309
Safi sana
 
Enzi za mwalimu asinge thubutu.

Zanzibar sio nchi😂😂😂😂😂
Kikatiba hili si sahihi! Maana yake Kuna mambo yatajidiliwa humo ubalozini zenji bila serikali ya muungano kujua. Ni hatari Kwa usalama WA nchi!
Mimi nawasubili wazee wa Itifaki waje watuelimishe.
Nchi kadhaa zenye balozi zao hapa nchini, pia zina ubalozi mdogo Zanzibar (consulate). UAE walikua hawana consulate kule, ila hivi sasa wameamua kuujenga na hatimaye kuufungua.
Hili swala wala halina ukakasi wowote.
 
Nchi kadhaa zenye balozi zao hapa nchini, pia zina ubalozi mdogo Zanzibar (consulate). UAE walikua hawana consulate kule, ila hivi sasa wameamua kuujenga na hatima kuufungua.
Hili swala wala halina ukakasi
OK, una maana hawo UAE tayari wa Ubalozi Tanzania na Ofisi zao zipo Dar/Dodoma?
 
Muungano hauvunjwi,

Chokochoko zote zitadhibitiwa.
Mwe mwe mwe! Penye Moshi pana moto, hebu tuseme kwakuwa UAE wameruhusiwa basi nchi zingine zote marafiki nazo zijenge Balozi ndogo Zenji je hapo Kuna muungano Tena? Si Kila kitu kitaishia Zenji? Huu muungano una walakini somewhere panavuja! Na Rais ni wao hadi 2040 machogo tutakoma!
 
Back
Top Bottom