GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Uchambuzi wao kuhusu makubaliano ya serikali ya Tanzania na Emiratrs of Dubai unaleta shaka sana
Vipengele vingi TLs wamechambua kama watu wa sekondari na sio professionals wa business law,Nitaongelea makosa kwenye kila article walizochambua
Article 21 ya IGA na uchambuzi wao TLs naunukuu kwa mujibu wa TLS
",Ikitokea kutokuelewana ni vyema mashauriano yakafanyika kwa sheria za Tanzania na sio sheria za kimataifa kwani kuna mkanganyiko kati ya sheria za Tanzania na zile za kimataifa" .Mwisho wa kuwanukuu TLS.
Hata kwa mtoto wa chekechea ukimuuliza,Mtu kaharibu toy lako utaenda kumsemea kwa baba yake au utamsea kwa baba yako?
Ni muwekezaji gani anaweza kubali mashauriano yafanyike kwenye nchi aliyowekeza?.Hakuna muwekezaji mjinga wa kukubali pesa zake zichukuliwe kirahisi rahisi hasa kwenye nchi za Afrika ambazo majaji na mahakimu wanawaogopa wanasiasa
TLs kitendo cha kushauri kesi zifanyike kwa sheria za Tanzania kwenye mikataba ya kinataifa tuna mashaka na aina ya elimu mnayoipata huko law school,Huwa sishangai darasa zima kufeli huko law school kwa staili hii ya uchambuzi
Ulisikia wapi mtu anakuletea dollar zaidi ya mil 50 akataka kesi zisifuate sheria za kimataifa
Rostam Aziz amewekeza Kenya zaidi ya dollar mil 30 kwenye sekta ya gas na nishati lakini kesi zake na kenya kamwe hazifuati sheria za kenya bali sheria za kimataifa,Kumbuka mahakama za Kenya zina uhuru kidogo kuliko mahakama za Tanzania
TLS watambue kwenye biashara za kimataifa zinatumika sheria za kimataifa ,kulazimisha kutumia sheria local ni kufukuza wawekezaji na hakuna muwekezaji mjinga kiasi hicho
JPM alivyoona mambo magumu na Barrick akasaini sheria za haraka haraka kwa kupitia bunge lake lililokuwa linaapisha watu gereji kuwa wawekezaji wote kesi zifanyike Tanzania,Lakini mpaka anaondoka kesi zote zipo kimataifa na wale wote aliokwapua JPM vitu vyao kinguvu Samia anawalipa kutokana na hukumu za kimataifa
#Kataa TLs ,Kataa vibwetere#
Wachambuzi wengi hawajawahi fanya biashara na wala hawajui maana ya sheria za biashara za kimataifa
Angalia Recommendation ya TLs hiyoView attachment 2674685View attachment 2674686