Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,104
- 2,347
Huku ma RCs na DCs wakiwa wamepewa maagizo ya kusafisha "image" ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyochafuliwa na vumbi la tope la mkataba wa ovyo la kukodisha/kubinafsisha bandari zote za bahari na maziwa makuu yote ya Tanganyika akiziacha za kwao Zanzibar, inasemekana kuwa kumbukumbu (hansard) za bunge juu mjadala wa wabunge kupitisha azimio la kuipa serikali "go ahead" zimefutwa na bunge...
Fuatilia video hii πππππππππππππmpaka mwisho.
Fuatilia video hii πππππππππππππmpaka mwisho.