Wanaweza kuongoza nchi kama Wanashindwa kusimamia Bandari?

Poa 2

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2019
Posts
1,333
Reaction score
1,356
Ndio maana tunasema CCM na serikali yake wamechoka, hawana uwezo na maarifa ya kuweza kuleta maendeleo kwa nchi zaidi ya kuifubaza na kuitafuna.

Watanzania 63 milioni tushindwe kweli kuendesha bandari kwa ufanisi kweli? Hii mikataba ya hovyo itaturudisha utumwani, haiwezekani mwarabu apewe bandari yetu milele.

Tutaweza lipi kama Kila kitu sisi hatuwezi. Na hata kama Samia na genge lake Wana Nia njema kwa nini hawataki kusikiza maoni ya wananchi? Kwanini bandari ziuzwe za huku bara peke? Kwanini hakuna ukomo wa mkataba?

Kwanini Tanzania hatutakuwa na uwezo wa kuvunja mkataba? CCM achieni nchi mtaimaliza, kama bandari tu hamna mawazo mbadala wapi mnatupeka kama nchi?
 
Nchi imeisha washinda ndio maana wanafanya udalali
 
Ndio maana tunasema CCM na serikali yake wamechoka, hawana uwezo na maarifa ya kuweza kuleta maendeleo kwa nchi zaidi ya kuifubaza na kuitafuna.

Watanzania 63 milioni tushindwe kweli kuendesha bandari kwa ufanisi kweli? Hii mikataba ya hovyo itaturudisha utumwani, haiwezekani mwarabu apewe bandari yetu milele.

Tutaweza lipi kama Kila kitu sisi hatuwezi. Na hata kama Samia na genge lake Wana Nia njema kwa nini hawataki kusikiza maoni ya wananchi? Kwa nini bandari ziuzwe za huku bara peke? Kwanini hakuna ukomo wa mkataba?

Kwa nini Tanzania hatutakuwa na uwezo wa kuvunja mkataba? CCM achieni nchi mtaimaliza, kama bandari tu hamna mawazo mbadala wapi mnatupeka kama nchi?
Wewe mwenyewe ukipewa kitengo bandarini hutakuwa mpigaji? Una uchungu toka moyoni na bandari au unawaonea wivu waliopo kwenye system?
 
Wanapewa dhamana halafu wanaanza udalali wa mali za nchi.
 
Wewe mwenyewe ukipewa kitengo bandarini hutakuwa mpigaji? Una uchungu toka moyoni na bandari au unawaonea wivu waliopo kwenye system?
Nina uchungu kutoka moyoni mkuu, wizi na dhulma SI tabia yangu, siwezi ibia nchi yangu
 
Ndio maana tunasema CCM na serikali yake wamechoka, hawana uwezo na maarifa ya kuweza kuleta maendeleo kwa nchi zaidi ya kuifubaza na kuitafuna.

Watanzania 63 milioni tushindwe kweli kuendesha bandari kwa ufanisi kweli? Hii mikataba ya hovyo itaturudisha utumwani, haiwezekani mwarabu apewe bandari yetu milele.

Tutaweza lipi kama Kila kitu sisi hatuwezi. Na hata kama Samia na genge lake Wana Nia njema kwa nini hawataki kusikiza maoni ya wananchi? Kwanini bandari ziuzwe za huku bara peke? Kwanini hakuna ukomo wa mkataba?

Kwanini Tanzania hatutakuwa na uwezo wa kuvunja mkataba? CCM achieni nchi mtaimaliza, kama bandari tu hamna mawazo mbadala wapi mnatupeka kama nchi?
Nimekwambia hawa wapo madarakani kwa sababu hatujaamua kuwafurusha hakuna mwenye sifa hata mmoja wa kutuongoza ss watanzania hapo,wote ni VICHAA watupu hao.waliochaguliwa 2020 hawazidi asilimia 20.Hii nchi inajiendea tu MUNGU ndie amesimama nje ya hapo hakuna kitu.
 
Mafisadi hayo

Hatuwezi kuuza uhuru wetu kwa haya majangili kutoka uarabuni

Lazima bandari zirudi kwa watanzania
 
Ndio maana tunasema CCM na serikali yake wamechoka, hawana uwezo na maarifa ya kuweza kuleta maendeleo kwa nchi zaidi ya kuifubaza na kuitafuna.

Watanzania 63 milioni tushindwe kweli kuendesha bandari kwa ufanisi kweli? Hii mikataba ya hovyo itaturudisha utumwani, haiwezekani mwarabu apewe bandari yetu milele.

Tutaweza lipi kama Kila kitu sisi hatuwezi. Na hata kama Samia na genge lake Wana Nia njema kwa nini hawataki kusikiza maoni ya wananchi? Kwanini bandari ziuzwe za huku bara peke? Kwanini hakuna ukomo wa mkataba?

Kwanini Tanzania hatutakuwa na uwezo wa kuvunja mkataba? CCM achieni nchi mtaimaliza, kama bandari tu hamna mawazo mbadala wapi mnatupeka kama nchi?
Mimi niko tayari kutengeneza mchanganuo wa biashara shindani utakoa leta tija . A business plan with competitive strategy formulation
 
Nimekwambia hawa wapo madarakani kwa sababu hatujaamua kuwafurusha hakuna mwenye sifa hata mmoja wa kutuongoza ss watanzania hapo,wote ni VICHAA watupu hao.waliochaguliwa 2020 hawazidi asilimia 20.Hii nchi inajiendea tu MUNGU ndie amesimama nje ya hapo hakuna kitu.
Sasa tutaamua lini mbona huu ujinga una zidi kukomaa
 
Ndio maana tunasema CCM na serikali yake wamechoka, hawana uwezo na maarifa ya kuweza kuleta maendeleo kwa nchi zaidi ya kuifubaza na kuitafuna.

Watanzania 63 milioni tushindwe kweli kuendesha bandari kwa ufanisi kweli? Hii mikataba ya hovyo itaturudisha utumwani, haiwezekani mwarabu apewe bandari yetu milele.

Tutaweza lipi kama Kila kitu sisi hatuwezi. Na hata kama Samia na genge lake Wana Nia njema kwa nini hawataki kusikiza maoni ya wananchi? Kwanini bandari ziuzwe za huku bara peke? Kwanini hakuna ukomo wa mkataba?

Kwanini Tanzania hatutakuwa na uwezo wa kuvunja mkataba? CCM achieni nchi mtaimaliza, kama bandari tu hamna mawazo mbadala wapi mnatupeka kama nchi?
Wizi ni jadi kuacha haiwezekan!!
 
Naunga mkono HOJA,

Sa100 must go!!!
 
Back
Top Bottom