Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"DP WORLD wakipata faida huwezi kuwatoza kodi lakini pia hakuna kifungu chochote (katika mkataba wa bandari) kinachozungumzia revenue sharing (mgawanyo wa mapato), kama nchi itafaidika vipi?"...
42 Reactions
101 Replies
13K Views
Kama ulidhani suala la Mkataba wa milele wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika ni la mjini pekee basi umebugi. Huko Nyamongo , leo umefanyika mkutano kabambe wa hadhara wenye lengo moja tu kwa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwanazuoni Profesa Issa Shivji amekosoa mkataba baina ya Tanzania na Dubai unaohusu uboreshaji na uendeshaji wa bandari, huku akishauri Bunge kubatilisha azimio la kuridhia mkataba huo wa awali...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kumegwa kwa eneo la Ranchi ya Kagoma wilayani Muleba na Karagwe katika Mkoa wa Kagera yenye ukubwa wa hekta 18,031.26 kwenda kwa wananchi waendeleze...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amefungua Mashindano ya mpira wa kikapu ya wafanyakazi wa Kampuni za kichina zinazofanya kazi nchini. Lengo la kuanzisha...
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Ndugu wanaJF huu ni uzi wangu wa kwanza hapa ninaandika nikiwa nina hasira zisizo na mfano dhidi ya hizi idara za vyama vya siasa. Hawa vijana wamekosa mwelekeo na kuishia kuwa vituko tofauti na...
2 Reactions
4 Replies
661 Views
Tarehe 24/10/2007 Balozi Dr. W.P. Slaa, akiwa viwanja vya Mwembeyanga Temeke alitaja majina 11 akiwemo Rais mstaafu Mkapa na Rais aliyekuwa madarakani Mh Kikwete kuwa ni miongoni mwa Mafisadi wa...
15 Reactions
76 Replies
7K Views
Ndugu zangu Kama ukiacha akili yako iwe huru, ukaondoa mawazo ya uchama kichwani, ukatazama uongozi wa Rais Samia kwa mawazo huru yasiyofungwa na chochote Wala kupofushwa na chuki binafsi kwa Rais...
10 Reactions
115 Replies
5K Views
Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kupunguza uagizaji wa bidhaa za Afya ikiwemo dawa kutoka zaidi ya asilimia 80 hadi chini ya asilimia 50 ifikapo mwaka 2030. Waziri wa Afya, Ummy...
1 Reactions
2 Replies
546 Views
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo yuko Arusha Mjini akimwaga elimu kuhusu Mkataba kabambe wa kukodisha Bandari za Tanganyika Pekee , hili ni jambo zuri . Lakini kama ilivyo desturi ya ccm...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Salama ya upinzani kuchukua dola ilikuwa mikononi mwa maridhiano ambayo yangepelekea uundwaji wa katiba mpya ambayo ingezaa tume huru ya uchaguzi. Na jambo hili lilikuwa pia linasubiriwa kwa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, amefunguka mazito kuhusu maelekezo ya Rais kufanikisha Dk. Samia Suluhu Hassan katika mapambano shisi ya vifo vitokanavyo na uzazi kwa mama na moto. Amesema hatua...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Sakata la kugenisha bandari na rasilimali za Tz-bara Wapinzani siyo silaha sahihi kushinda vita. 1. Ni ukweli usiokanushika kwa ushahidi wowote ule kwamba Wazungu ni watu wasioitakia mema Afrika...
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Wakili Paul Kisabo amesema Mkutano wa hadhara wa Chadema kujadili Mkataba wa Bandari utalindwa na Jeshi la Polisi ili kuhakikisha amani inakuwepo wakati wote Wakili Kisabo amelipongeza Jeshi la...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
"Mmeamkaje? Kwangu mambo siyo mazuri. Mtakumbuka baada tu ya kuingia upinzani serikali ilitishia muda mrefu kuchukua mashamba yangu bila sababu za msingi, hata wakati wa kampeni baadhi ya viongoz...
13 Reactions
318 Replies
30K Views
Wakuu Na mgonjwa Ocean road hapati tiba kwa sababu Machine imeharibika ni week ya pili inakata kipi kinashindwa kutatuliwa ifanye kazi na malipo wanapokea watu wa bima wanapelekwa kupimiwa...
0 Reactions
2 Replies
793 Views
Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu. 2. Ofisi hii inakiri kupokea barua yako yenye kumb. Na. CDM/TMK/17/0713 ya tarche 18.07.2023. 3. Mutano huo ni wa hadhara na Jeshi linaamini mnalo jukumu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Sam Ruhuza Naomba ufafanuzi! Nimeupitia mkataba wa Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai. Dubai ni state kwenye Nchi ya UAE (United Arabs of Emirates) na ndio tumeingia...
20 Reactions
55 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…