Wakili Kisabo: Mkutano wa Chadema kujadili Mkataba wa Bandari utalindwa na Polisi, nawapongeza Tanpol kwa Ushirikiano!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Wakili Paul Kisabo amesema Mkutano wa hadhara wa Chadema kujadili Mkataba wa Bandari utalindwa na Jeshi la Polisi ili kuhakikisha amani inakuwepo wakati wote

Wakili Kisabo amelipongeza Jeshi la Polisi kwa Ushirikiano mzuri na kuweka copy ya Barua ya OCD wa Temeke inayothibitisha Polisi kutoa Ulinzi siku ya Kesho

Kisabo amelishukuru Tanpol kupitia ukurasa wake wa twitter

Sabato Njema!
 
Wakili Paul Kisabo amesema Mkutano wa hadhara wa Chadema kujadili Mkataba wa.
JamiiForums-31518858_225x400.jpg
 
Back
Top Bottom