Godbless Lema amkumbusha Katibu Mkuu wa CCM Kuhakikisha watu waliosombwa kwa malori wanarejeshwa makwao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,752
218,339
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo yuko Arusha Mjini akimwaga elimu kuhusu Mkataba kabambe wa kukodisha Bandari za Tanganyika Pekee , hili ni jambo zuri .

Lakini kama ilivyo desturi ya ccm wametumia kila nyenzo ya usafiri kuhakikisha watu wanasombwa ili kujaza uwanja , wakiwemo wanafunzi , sasa ngondo inakuja baada ya Mkutano kumalizika , wengi wanaosombwa kuletwa uwanjani hutelekezwa na kuachwa wasijue la kufanya .

Tunaishukuru Chadema Arusha ambayo mara kadhaa imekodi magari kuwarejesha waliotelekezwa na hasa wanafunzi na watoto .

Screenshot_2023-07-22-16-43-50-1.jpg
 
View attachment 2696203
Humo kwenye malori,walilazimishwa au walipanda wenyewe kwa hiari ,mtu apande mwenyewe kwa hiari,uje uumie roho wewe.
 
Back
Top Bottom