Suala la Mkataba wa Bandari na DP World lafikishwa Tarime. John Heche awafafanulia Wananchi Ubovu wake

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,428
Kama ulidhani suala la Mkataba wa milele wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika ni la mjini pekee basi umebugi.

Huko Nyamongo , leo umefanyika mkutano kabambe wa hadhara wenye lengo moja tu kwa ajili ya kuwaeleza wananchi kuhusu ubovu wa Mkataba wa Bandari za Tanganyika , John Heche ndiye aliyeongoza Darasa hilo .

Hivi ndivyo ilivyokuwa.

Screenshot_2023-07-22-18-20-01.jpg
Screenshot_2023-07-22-18-19-33.jpg
Screenshot_2023-07-22-18-19-28.jpg
 
Kama ulidhani suala la Mkataba wa milele wa DP WORLD na Bandari za Tanganyika ni la mjini pekee basi umebugi.

Huko Nyamongo , leo umefanyika mkutano kabambe wa hadhara wenye lengo moja tu kwa ajili ya kuwaeleza wananchi kuhusu ubovu wa Mkataba wa Bandari za Tanganyika , John Heche ndiye aliyeongoza Darasa hilo .

Hivi ndivyo ilivyokuwa.

View attachment 2696298View attachment 2696299View attachment 2696300

Hawa ni walioingia huumkataba ni watu wa kupingwa kila kona. Mijini na mashambani. Lazima kitaeleweka tu.
 
Samia hii Tanganyika ataiona chungu kwa kujitakia mwenyewe, alichezea wembe...
Hizi ni rabsha rabsha za kawaida sana na huwakuta ma Rais wote

jana nmeona sehemu kwa Steve nyerere , JK anazungumza kwa kikwere kuhusu zogo hili la Mkataba anasema yeye alipoingia tu akaanza na EPA, ikaja Richmond, ikafuata Dowans na akamalizia na Escrow

anazungumza ame relax huku anacheeeeka
 
Muulize tena kuhusu Richmond
 
Back
Top Bottom