Polisi yakiri kupokea barua ya Mkutano wa Hadhara Julai 23, 2023 kuhusu uwekezaji wa DP World Bandarini

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
IMG_8097.jpeg

Tafadhali husika na somo tajwa hapo juu.

2. Ofisi hii inakiri kupokea barua yako yenye kumb. Na. CDM/TMK/17/0713 ya tarche 18.07.2023.

3. Mutano huo ni wa hadhara na Jeshi linaamini mnalo jukumu la kuzingatia sheria na kanuni za kuandaa na kufanya mutano katika mazingira ya amani.

4. Jeshi la Polisi halitasita kutekeleza majukumu yake ya msingi pale litakapo baini ukiukwaji wa sheria utakaojitokeza kutokana na mkutano huo.

5. Jeshi la Polisi linaendelea kusisitiza misingi ya kisheria na amani we ni kigezo muhimu cha kuzingatia katika mikutano.

Pia soma: Orodha ya Vigogo Wazalendo watakaohutubia Mkutano wa hadhara Temeke inatisha
 
View attachment 2696154

Wameomba ruhusa, au wanetaarifu kuwepo Kwa mkutano siku hiyo kuomba ulinzi?
 
Kesho msaliti akaanikwe vizuri juani kila mtanganyika amuone, hata kama atakuwa amejifunika lemba kwa aibu lazima uso wake uonekane na kila mtanganyika.
Kinachonikera ni chadema kujifanya huu ni mkutano wao,wakati hawamkubali msemaji wa mkutano huo (Dr Slaa)
 
Kesho msaliti akaanikwe vizuri juani kila mtanganyika amuone, hata kama atakuwa amejifunika lemba kwa aibu lazima uso wake uonekane na kila mtanganyika.
Mtamwanika halafu ikifika 2025 anchukua fomu mnamsafisha na kumpigia debe
 
Wapi imetoka taarifa rasmi toka Chadema kuwakaribisha watu kwenye huo mkutano?

Unadanganywa na johnthebaptist nawe unajaa mazima, amka acha kusinzia.
Wadau wote, wenye nia ya kuikomboa bandari yetu wanakaribishwa/wamealikwa. Hivyo mtawaona Dr. Slaa na wadau wengine wengi. Watanganyika wanaungana, usishangae hata kuwaona ccm
 
Back
Top Bottom