Rais Samia ashuhudia Utiaji Saini Mkataba wa Makubaliano Kuhusiana na Mashirikiano kwenye (TEHAMA) Kati ya Tanzania na Malawi

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya kumbukumbu na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye pamoja na Waziri wa Habari na TEHMA wa Malawi Moses Kunkuyu Kalongashwa mara baada ya kushuhudia utiaji saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kuhusiana na mashirikiano kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) Lilongwe nchini Malawi tarehe 7 Julai, 2023.

F0cSk-oWYAAr5XA.jpeg
 
Nikisikia tu Kuna mkataba umesainiwa, Kichwa kinaanza kuuma, mama kwa Sasa aache Kwanza kusaini.mikataba, mpaka pepo la Dubai lipite.
 
Hawa usiwaamini. Si ajabu wamesaini na wameuza Kilimanjaro na wachaga wote
 
Back
Top Bottom