Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiona chama cha siasa kinaitisha masndamano ni kiashiria kuwa kimeshindwa kushawishi wananchi.
1 Reactions
12 Replies
127 Views
CCM wakiangalia mbele ni giza sababu haakuna walichofanya. Hivyo wanahofu ya kuondolewa madarakani. Mikutano ya CHADEMA inawatisha kwani walitegemea CHADEMA imekufa. Hata 29.10.2025 walipiga...
23 Reactions
44 Replies
541 Views
Habari wadau wa JF Siasa, niende kwenye mada hapo juu. Itakumbukwa tarehe 7/7/1954 kuna Wajumbe 17 wanaokumbukwa katika historia kwenye kuchangia pakubwa kuanzishwa Chama cha TANU. Miongoni mwao...
12 Reactions
310 Replies
42K Views
Kwa heshima, naomba mamlaka husika zifanye tathmini ya kina kuhusu utendaji wa baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri ambao wananchi na baadhi ya viongozi wamekuwa wakilalamikia utendaji wao...
1 Reactions
4 Replies
84 Views
  • Redirect
MAPOKEZI YA WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA WILAYANI IKUNGI Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumamosi, Juni 27, 2026 amewasili mkoani Singida kuendelea na ziara yake ya kikazi, ambapo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Wanabodi, Kwanza naomba msishitushwe na Maneno hayo, mkadhai ni Maneno yangu mimi Pascal Mayalla, nikiwatukana waheshimiwa wabunge wetu kuwa ni ma "stupid!". No!, sio mimi, bali hayo ni baadhi ya...
7 Reactions
87 Replies
11K Views
Kwa ufupi kabisa, mpaka sasa Taifa la Tanzania limeshapoteana. Sababu kubwa ni CCM kushindwa kuelewa kuwa Generation has changed, na hata modality ya kuongoza nchi na kuchanganua mambo inapaswa...
13 Reactions
20 Replies
322 Views
DeletedMember281674
Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge...
8 Reactions
15 Replies
409 Views
Hii ikimaamisha, viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa...
3 Reactions
22 Replies
221 Views
Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh...
0 Reactions
7 Replies
288 Views
Kwa miaka takribani 20 ya uwepo wa vyama vingi sikutarajia kukutana na chama cha upinzani kinachopambamia dola huku kikitegemea msaada wa kifedha kutoka nje ya nchi kufanya harakati zake za...
2 Reactions
40 Replies
738 Views
Siioni chadema inayotetea maslahi na fikra za watanzania bali inafanyia kazi maelekezo ya wazungu wahuni hivyo tuikatae
1 Reactions
40 Replies
224 Views
Wengi wanetambua kuwa kuvaa mashati na hizo T shirt za Kijani au kuendesha baiskeli za CCM waweza kupata ajali na binadamu wakapita wakikuangalia kama wale mbwa Kokomo wagongwao barabarani na...
6 Reactions
17 Replies
539 Views
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar - Mafunzo kutoka kitabu "Pan-Africanism or Pragmatism?" cha Prof. Issa Shivji https://www.youtube.com/watch?v=AcK2xEIZJN8
1 Reactions
0 Replies
56 Views
Ni wazi usalama wa watu na makazi ya kila mTanzania, ni muhimu zaidi ya uhuru wa kuchchea au kuhubiri chuki, uhasama na migawanyiko nchini, kwa mgongo wa kufanya siasa. Tumpongeze waziri wa mambo...
4 Reactions
21 Replies
133 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amesema Kama Tanzania kuna hali ya hatari, Mikusanyiko yote ya dini, michezo, mazishi nk, ipigwe marufuku, sio siasa tu...
15 Reactions
68 Replies
1K Views
Huyu jamaa anayejita shekh mbona serikali inamuacha na kauli zake, au anatumika kwenye matukio yao? Na amini angezungumza maneno haya mpizani wa serikali basi kwa sasa angekuwa katika hali mbaya...
5 Reactions
39 Replies
857 Views
Nchi Ina viongozi na wote wameapa kuilinda kuiheshimu katiba ya Nchi kwa hali na Mali, wameapa kuilinda amani ya Tanzania kwa hali na Mali, kwahyo nyie viongozi na wafuasi wa chadema jueni kuwa...
0 Reactions
41 Replies
376 Views
  • Redirect
Ni aibu sana kwa wanasiasa kama Heche na Mnyika kujidai wana misuli ya kupambana na Sheria kwa kutegemea fedha na harakati za watetezi wa ushoga huko ulaya. TII SHERIA BILA SHURUTI
1 Reactions
– Replies
– Views
Yaani imefika wakati sasa wafanya maamuzi wa siasa za nchi ni Polisi Waziri anasimamisha mikutano ya kisiasa kwa kutumia Polisi kwa kushindwa hoja. Tuombe kesi ya Mama iende haraka tuondokane...
7 Reactions
9 Replies
247 Views
Back
Top Bottom