Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kumetokea hitilafu katika gridi ya taifa, hali iliyosababisha mikoa yote inayohudumiwa na gridi kukosa umeme, na kwamba inaendelea na jitihada za...
1 Reactions
– Replies
– Views
https://www.youtube.com/live/h3i8-aVhzGA https://www.youtube.com/watch?v=G7NseGbdVVM Leo Juni 23, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo Dorothy Semu ameongoza uwasilishaji wa Uchambuzi wa Bajeti Kuu ya...
6 Reactions
7 Replies
277 Views
Je, Hivi Ndivyo Wafanyakazi Wanavyopaswa Kuishi? Malalamiko Mazito Kuhusu Mazingira ya Kazi Katika Kiwanda cha Fortune Paper Kuna haja mamlaka husika nchini Tanzania kuangalia kwa karibu mazingira...
1 Reactions
9 Replies
185 Views
Hilo limesha julikana mnaona spana za upinzani ni kali na misumari ya moto kabisa, hivyo mmeona mjifanye mnazuia siasa vyama vyote, halafu nyie muendelee na siasa kwa kwa mgongo wa ziara za kikazi...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Yaani huwezi kuwa Mzalendo na kubaki kwenye CCM hiii. Waliopo ni walaji , mafisadi na wale wanaofikiri watanufaika. Hakuna watanzania wengi ambao wapo CCM bila manufaa binafsi kwa sasa. Ndiyo...
11 Reactions
18 Replies
246 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa serikali haitasita kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya mtu yeyote atakayeshiriki au kuhamasisha maandamano yaliyopangwa kufanyika...
2 Reactions
17 Replies
371 Views
Wadau wa sheria nimejitahidi kwa kadiri ya uwezo wangu kuitafuta hii hukumu na kuileata mbele yenu ili tuijadili. Nimefanikiwa kuipata na naomba tuisome kwa kina halfu tuijadili. Ni ndefu ni kama...
3 Reactions
78 Replies
16K Views
Kuna jamaa mmoja mwenye jina la kike anapigia kampeni CCM! Naona kazidiwa hoja🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️
2 Reactions
5 Replies
267 Views
Je Mange Kimambi katuingiza mjini? Aliapa hakutokuwa na uraisi wa Samia ila almost mwaka sasa; hao wanajeshi alisema watasimama na sisi ila wakaruhusu tuuliwe kama mbwa Alisema akina Tesha cjui...
11 Reactions
31 Replies
950 Views
Sheikh Mwaipopo, Tanzania ni Kubwa kuliko CCM, kuliko Samia na Genge lake !!. Sheikh Mwaipopo, Mungu kanipa Maono, ilikuwa usubiriwe Usimame mbele Kuta za MAHAKAMA ujibu Tuhuma za Harakari zako...
5 Reactions
25 Replies
556 Views
Nina Imani, kama Abdul hasingekuwa mtoto wa Rais,hasingekuwa mzanzibari akawa mtanganyika hasiye ona hata upande wa kitambaa cha bendera ya Tanganyika, akakosa ajira,akaishia maisha magumu kama...
2 Reactions
8 Replies
295 Views
Habari ya usiku huu. Kawaida kila siku lazima nitembelee kidogo twitter kuona mambo mbali mbali ya duniani huko. Lakini leo hata kwa VPN haiendi hata kidogo je ni kwangu tu au na wengine mnapata...
3 Reactions
5 Replies
266 Views
  • Featured
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Paul Makonda amesisitiza kuwa Tanzania ni kinara wa demokrasia barani Afrika kutokana na historia yake ya kipekee ya kupigania uhuru wa mataifa mengine...
11 Reactions
94 Replies
2K Views
Wanaukumbi, HISTORIA ya TANU ingelipotea kabisa kama siyo juhudi za makusudi za Profesa John Illife wa Cambridge aliyekuwa mwalimu wa historia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika miaka ya...
6 Reactions
59 Replies
11K Views
Tuliambiwa na January Makamba kuwa mioundombinu ya kusambaza umeme kwa njia ya grid ya taifa imechakaa. January Makamba kama waziri wa nishati akawawap tenda ya kutengeneza miundo mbinu ya gridi...
2 Reactions
17 Replies
411 Views
Tunawaomba Chadema waweke wazi mapato na matumizi ya Hela za ToneTone na hatutegemei tusikie walikuwa wanatumia kwenye chakula cha jioni kwasababu John Mnyika alishasema Kuna beberu liliwapa kiasi...
3 Reactions
50 Replies
340 Views
Ni Singida Tena Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📆 27 Juni, 2026. 🕰️4:00 Asubuhi
0 Reactions
26 Replies
429 Views
Wana-JamiiForums, Mnamo Juni 26, 2026, taifa limeshuhudia tamko zito kutoka bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa agizo kwa Mkuu vya Jeshi la Polisi...
15 Reactions
36 Replies
605 Views
Chadema ni wakati sasa wakutoa tamko kali. Hii ya kusema kuzuia mikutano ya kisiasa ni danganya toto tu, wao CCM wanaendelea na mikutano kama kawaida kupitia waziri mkuu wao fake. Leo huyo waziri...
0 Reactions
2 Replies
194 Views
Back
Top Bottom