Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) amebuni mfumo wa kidijitali unaotumia teknolojia ya Akili Bandia (AI) unaolenga kuboresha utoaji wa huduma na kudhibiti vitendo vya udanganyifu katika...
Maamuzi yake ni hovyo hovyo ambayo kama mtu ana akili timamu hawezi kuyatoa.Mfano hili suala la vitambulisho vya Nida ni maamuzi ya hovyo kanisa.
Nasema hivi sababu mpaka sasa kuna Watanzania...
Kwenye vitabu vya dini imeandikwa utavuna ulicholipanda.utawala huu umepanda mauaji,ufisadi,unakandizaji wa democrasia yaani umepanda maovu kila sehemu.
Yaani...
Mchambuzi wa Masuala ya Diplomasia na Utatuzi wa migogoro @fran_ceo anaeleza kuwa zuio la Mikutano ya Kisiasa katika kipindi hiki, Serikali inawasaidia CHADEMA kutoka kwenye mtego wa kuhamasisha...
Ama kwa hakika, mkataa pema pabaya pana muita.
Mzee huyo baada ya kujilimbikizia fedha na mali za kutosha akiwa kuhani wa kanisa, akaisaliti nadhiri yake ya sakaramenti ya upadre na kuachana na...
About 10 minutes ago, two people, a man and a woman, showed up at my house. They knocked for several minutes. At first, I didn’t answer, hoping they would eventually leave. Instead, they kept...
Patrobas Katambi amuweka Samia Suluhu kwenye minzani ya Utawala bora na Utawala wa Sheria.
Samia alijua atakuwa mtu wa kumsaidia kuwaunganisha watanzania.
Badala yake katambi kamvua nguo Samia...
Ahsante CHADEMA kwa kuendelea kuwapa Nafasi walau Dakika Tano Hawa Wamama ambao waliuliwa Ndugu zao Oktoba 29 kama nilivyoshauri hapa , CHADEMA YANGU, Kila Mkutano wa Hadhara Tupate Dakika Kumi...
Katambi wala Madilu kukitokea civil war among ourselves, hawa hawatakuwepo front line.
Sana sana watawapeleka nyinyi polisi na JW kapuku mfe.
Hivyo msiwasikilize hawa wauaji.
Madilu anamuandaa...
Viongozi 15 wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar wameisusa CUF tangu Jumapil, Juni 28, 2026, wametangaza kujiuzulu kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutoridhishwa na uongozi wa sasa.
Nawashauri...
Daa, hadi mwili unatetemeka.
Leo nimepata very classified information kutoka Tanzania kuhusiana na kutekwa Kwa Hamphley Polepole.
Polepole alikuwa mwiba mchungu Kwa CCM na Samia. Na hali hii...
Natamani sana kuuelewa ukimya wa mh rais kwenye mambo nyeti ya kitaifa kama hili la waziri wa mambo ya ndani kumwagiza IGP asitoe kibali cha mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa,na hii ni...
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali imeboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi katika maeneo ya vijijini na mijini
Amesema kuwa bajeti ya Wizara ya Maji...
Panya road walianza mwaka 2014 wakaendelea mdogo mdogo wakaja kuibuka kuanzia 2022 mpaka leo hii, wakazi wake wengi ni kama Zanzibar, Temeke, Tandika, Chanika, Mwananyamala, Buguruni, Kinondoni...
My Take
Kwa navyomjua Rais Samia hatiweka kabatini haya mapendekezo ya kimageuzi kama watangulizi wake.
Tume ya rais imependekeza mageuzi makubwa 284 ya kubadili mfumo wa kodi wa taifa...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 100 kuchangia ujenzi wa Shule ya Msingi na Awali inayojengwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kusini Mashariki ya...
Ukweli siku zote una speed ya kobe lakini haujawai kushindwa kufika mwisho wa safari. Ndivyo ilivyo kwa utawala wa awamu ya 6 wanatundanya na kutuona labda hatuna akili lakini kuna siku ukweli...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa Four Points by Sheraton, nikiwaripotia live mubashara, Kikao Kazi kati ya Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.