Skudu makudubela
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 558
- 1,116
Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Rais atakaefuata baada mama Samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏
yule sijui kwanini kaamua kujilipua sasa anadhani ataweza kuiangusha jamuhuri ngoja tuoneSio wakili mwabukusi[emoji38][emoji38]
Hoja dhaifu sana iyoWakatoliki hawawezi kumpokea muanglikana?
Amewahi kutokea rais asiyemkatoliki ukiachilia mbali waislamu?Hoja dhaifu sana iyo
Tukisema mkatoliki hata hao angikana ni wakatoliki uyo mwigulu sio muislam ni catholicAmewahi kutokea rais asiyemkatoliki ukiachilia mbali waislamu?
Natabiri hapa waziwazi leo tarehe 16/7/2023 Raisi atakaefuata baada mama samia ni Mwigulu Lameck Nchemba
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nani aliamini Magufuli atakua raisiLameck Madelu urais unaomfaa ni wa SINGIDA FOUNTAIN GATE na si wa JMT.
Nani aliamini Magufuli atakua raisi
Niaminini mimi raisi ajae ndio uyo
Sio kila tabiri inatimiaKuna utabiri alishawahi kuufanya yule mwamba wa kuitwa sheikh Yahya, alitabiri kuna kiongozi atafariki wakati wa uongozi wake kisha kwa mara ya kwanza TZ itapata Rais wa Kike kisha baada ya huyo atatokea Rais kutoka upinzani...
Mpaka sasa utabiri wake umefika 75% ngoja tuone...
View attachment 2689989
R.i.P.
Wewe unahisi nana atakuja baada ya MamaJPM alipata bahati ya Mtende kuotea jangwani ila kwa Lameck Madelu asahau.
Kwani maguful alikua dini ganLaw of noncontradiction inakataa huwezi kuwa A halafu wakati huo huo ukawa B.
Kama ni muanglikana basi sio mkatoliki ispokuwa ni mkristu.
Hivyo, Law of identity inaelekeza tumtambue kwa ukristu wake na sio vinginevyo.
Hii niliona YouTube ni kweli kabisaKuna utabiri alishawahi kuufanya yule mwamba wa kuitwa sheikh Yahya, alitabiri kuna kiongozi atafariki wakati wa uongozi wake kisha kwa mara ya kwanza TZ itapata Rais wa Kike kisha baada ya huyo atatokea Rais kutoka upinzani...
Mpaka sasa utabiri wake umefika 75% ngoja tuone...
View attachment 2689989
R.i.P.
Wewe unahisi nana atakuja baada ya Mama