Mkataba una makosa hadi sahihi na majina

JaphetJacob

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
106
Reaction score
121
Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.

Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.

Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.

ac120738-fd9c-470d-86b2-3d78ab3562dc.jpg
 
Inashangaza kitu muhimu kama hichi kinochohusu mustakabali wa taifa kinachukuliwa kama ni kitu kidogo. Rais hata hajishugulishi kujibu.

Mkataba kama hauko vizuri una - affect maisha ya kila mtu anayeisha Tanzania.

Oversight, ukaguzi ni muhimu.
 
muhimu kuhusu Rais, kiongozi inabidi atuongoze. Atoe kauli. Inashangaza kiongozi yupo kimya kuhusu issue muhimu. Ni wajibu wake kuongelea na kulituliza taifa
Kazi ya Rais wa JMT ni ipii.

Tuwekeeni kakiba kuhusu hata ĥuu mkataba.
 
Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.

Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.

Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.

View attachment 2687975
Jeshi la Polisi haraka sana iwezekanavyo mkawakamate wote waliohusika na huu mkataba kwa hatua zaidi za kisheria.
 
Kuna uwezekano Prof. Mbarawa hakusoma mkataba kabla ya kusaini, hadi kusaini alishaanza kusaini nafasi ya katibu mkuu.

Kuna nguvu kubwa ilitumika kupitisha hili dubwasha, haiwezekani jambo kubwa kama hili shahidi amesaini lakini hakuna jina wala cheo.

Watu wanaopigania hili lipite wanasubiri zile asilimia 35% ya uwekezaji ili wanufaike.

View attachment 2687975

Afadhali huo hapo umeuona, ule wa uvamizi uitwao Muungano ndio hauonekani kabisa. Yaani mumeivamia nchi yetu na kuchukuwa uhuru wake na kiti chake UN, mkauwa watu kwa maelfu na mpaka leo ufikapo uchaguzi mnaendelea kuuwa watu. Hicho kibandari kinawatoa rohooo, kumbe mkuki kwa nguruwe tu...
 
Jeshi la Polisi haraka iwezekanavyo mkawakamate wote waliohusika na huu ujinga kwa hatua zaidi kisheria.
Wakamatwe hawa walioiondoa nchi yetu na kuuwa watu kwa maelfu na wanaendelea kuuwa watu kila ufikapo uchaguzi pia mliondowe hili jeshi lenu lililopiga kambi kila mtaa huku Zanzibar pamoja na wanausalama wenu waliojaa wengine wamevaa rubega za kimasai
 
Afadhali huo hapo umeuona , Ule wa uvamizi uitwao Muungano ndio hauonekani kabisa . Yaani mumeivamia nchi yetu na kuchukuwa uhuru wake na kiti chake UN , mkauwa watu kwa maelfu na mpka leo ufikapo uchaguzim mnaendelea kuuwa watu. Hicho kibandari kinawatioa rohooo, Kumbe Mkuki kwa nguruwe .......
Nusu ya Wazinbari wa zaidi ya milioni wanaishi Tanganyika, Ilala Dar, Morogoro, Tanga. Wanamiliki ardhi na majengo Tanganyika. Wana haki zote kama Watanganyika. Tukienda kule, kuna sheria maalumu kuwathibiti Watanganyika. Unaona tupo sawa?
 
Wakamatwe hawa walioiondoa nchi yetu na kuuwa watu kwa maelfu na wanaendelea kuuwa watu kila ufikapo uchaguzi pia mliondowe hili jeshi lenu lililopiga kambi kila mtaa huku Zanzibar pamoja na wanausalama wenu waliojaa wengine wamevaa rubega za kimasai
Mkuu chukueni kisiwa chenu, nchi yenu. Watanganyika tunahitaji Tanganyika.
 
Wakamatwe hawa walioiondoa nchi yetu na kuuwa watu kwa maelfu na wanaendelea kuuwa watu kila ufikapo uchaguzi pia mliondowe hili jeshi lenu lililopiga kambi kila mtaa huku Zanzibar pamoja na wanausalama wenu waliojaa wengine wamevaa rubega za kimasai
Mkuu serikali ya ccm ndio wanahusika na huo unyama kwa miaka mingi na bado wanaendelea kwa asilimia mia moja.
 
Back
Top Bottom