Tukio hili linanikumbusha tukio moja liliwahi kufanyika ktk moja ya majengo ya Bunge
Kwa wale waandishi waliopata kuriport Bunge wanajua heka heka za kufile stories maswali na majibu na story kubwa baada ya kipindi cha asb kumalizika
Ikumbukwe kwamba wakati wabunge wanaelekea kupumzika baada ya secion ya asb waandishi tunakimbizana kufile stories kabla ya secion ya jioni
Nakumbuka siku hiyo wakati Bunge linaeleekea kuahirishwa mchana, kilikuja kimemo speakers galary kwamba naibu waziri wa habari wakati ule Daniel Sanzugwanko anataka press saa saba kule kwa "Zulu" conference room
Kama kawaida waandishi tulipofika kwa Zulu tuliacha kuandika story na kukaa tayari kumsubiri naibu waziri anakuja na ujumbe gani
Ghafla mwamba anaingia akaketi akaanza kueleza ya kwake, ingawa wakati anazungumza watu tunatazamana usoni, alipomaliza aliuliza kama kuna mwandishi anaswali
Kamanada Manyerere Jackton alikuwa wa kwanza kunyoosha mkono na kumtolea uvivu na nukuu
"mimi sina swali ila nakushangaa, yaani waziri mzima unakuja kutupotezea muda hapa kutueleza huu upuuzi sisi siyo madodoki"
Baada ya hapo kamanda alisimama akaenda kukaa pembeni kuwahisha stories
Mwamba aliuliza yule ni ni nani? Akajibiwa huyo ni Manyerere Jackton
Kilichofuata mwamba aliagiza Manyerere azuiliwe kuingia bungeni kuriport Bunge kwa kua amemdhalilisha waziri. Hata hivyo amri yake haikufua dafu kwani kamanda alipiga tiktaka barua ya mwamba akaendelea kupiga mzigo wa Bunge