Kwani Muungano wa Tanzania ni Mkataba au Makubaliano? Naona kama Makamu wa kwanza wa Rais SMZ othman Masoud anachanganya mambo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,148
Naomba tu kuelimishwa Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Makubaliano au Mkataba?

Nimejiuliza hili swali baada ya Kauli ya Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Masoud Othman kwamba Mkataba wa Muungano ndio mbovu kuliko yote

Mlale Unono 😃!
 
Wewe hufikii hata robo ya akili ya makamu wa kwanza wa Rais wa SMZ ambaye alikuwa ndio mwanasheria mkuu wa Zanzibar.

Unachojuwa wewe ni kujambajamba tu.
 
Ni makubaliano, lkn tatizo ni kiswahili cha Zanzibar huwa kinaenda kinyume na kile cha bara.

Kwa Zanzibar neno mkataba lina maana ya neno makubaliano (kwa Tanganyika). Ni kama ilivyo maji ya mferejini (wao wanamaanisha maji ya bombani).
 
Naomba tu kuelimishwa Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa Makubaliano au Mkataba?

Nimejiuliza hili swali baada ya Kauli ya Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Masoud Othman kwamba Mkataba wa Muungano ndio mbovu kuliko yote

Mlale Unono 😃!
Wewe kijana umekula maharage ya tukuyu itakuwa. Huyu ni bingwa wa sheria mpaka jaji bingwa wa sheria za kimataifa joseph sinde warioba anamuta mwalimu! Acha hizo kijana.
 
Back
Top Bottom