Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 949
- 2,865
JE NI MKATABA WA BANDARI AU MAKUBALIANO YA BANDARI? JE NI MKATABA AU MAKUBALIANO YA TANGANYIKA NA ZANZIBAR?
Leo 13:15hrs 29/06/2023
Rais Museveni alipokuja Chato aliwahi kusema Watanzania tuna uhaba wa maneno ya kiswahili,Ukweli ni kwamba neno "mkataba" kwa kiswahili lina maana pana sana ukilitafsiri kwa kiingereza,kwa mfano, haya yote yana maana ya neno "mkataba": Contract, agreement, pact, memorandum of understandig, treaty nk.mkataba unapokuwa ni nchi na nchi, unaitwa "Treaty".Sasa sijui kwa nini tunaita "makubaliano ya bandari" na kwa nini Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tulijikita sana kuuita "Article of Union" badala ya kuuita "Treaty of Union of Tanganyika and Zanzibar" ? Sasa kwa nini makubaliano haya tunayaita mkataba?
Ili makubaliano yawe mkataba ni lazima yakidhi vigezo fulani na vigezo vya makubaliano vinafaa kuitwa mkataba "Agreement is Contract" period! na moja ya sifa za mkataba (Contract) ili uitwe mkabata "Ni lazima;
(a) Uwe Unaweza kutekelezeka (implementation)
(b) Uwe na nguvu zenye msukumo wa kisheria (law enforced agreement) napenda kuweka bayana pasipo shaka "makubaliano ya bandari ndio mkataba wa bandari" na kuhusu Muungano wa Tanzania ni ''Mkataba halali wa Muungano'' na si habari ya ati kuwa ni 'Makubaliano ya Muungano' tu,tukumbuke kwamba bila ya makubaliano hakuna Mkataba (No Agreements means no Contract). Lakini kama ipo list ya vitu vinavyotekelezeka kwenye makubaliano maana yake hayo makubaliano ni mkataba tayari "mtiririko wa list ya Makubaliano (Agreements) upo means Mkataba (Contract exist),uwepo wa list ya mtiririko ni mambo yanayotekelezeka kisheria na kama yote yanaweza kupata tiba na nguvu zenye msukumo wa kisheria huo ni mkataba dhahiri.
-Makubaliano ambayo sio mkataba ni ya kuuziana bangi au madawa ya kulevya.
Kwa lugha nyingine nyepesi pengine "kila makubaliano sio mkataba" inaweza ku-apply pale tu ambapo labda makubaliano au mkataba (contract) wenyewe ni wa kuuziana bangi au mihadarati...kwa maana nyingine ni biashara ambayo haina uhalali,biashara isiyo tekekeleka kisheria,na wala makubaliano (Agreements) yake hayawezi kubeba heshima ya kutambulika kisheria,na wala kuweza kuwa na nguvu za msukumo wa kisheria (law enforcing agreement),Mantiki ya kuwa kila makubaliano sio mkataba "Not every Agreement is contract" DO NOT exist (Haipo)! Kwa maneno mengine if an agreement/s DO NOT FIT to be 'termed' under so called Contract, then; is NOT A CONTRACT. Period! Mkataba ni makubaliano ya kutekeleza Makubaliano,huo ndio Mkataba usisubiri iwe imeandikwa kiyunani ndio ukubali.
Leo nimalizie hapa,siku nyingine nitakuja na mengine kama "ndoa ni mkataba au makubaliano" "makubaliano ya kupangisha chumba"mfano umepangisha mtu chumba katika nyumba yako kwa makubaliano ya kulipwa mathalani Tshs.60,000.00 kila tarehe moja ya mwezi, kwa muda wa mkataba wa miaka miwili (including umeme na maji). Hayo ni makubaliano yenye uhalali na yenye kuweza kupata tiba, utetezi na msukumo wa kisheria endapo mkataba ama makubaliano (agreements) hayo yatakiukwa na upande mmoja wapo kati ya pande mbili zilizokuwa kwenye mkataba (contract),siku nyingine nitakuja kuelezea somo la mwaka wa kwanza wa sheria ambalo ukija mtaani practically utapata shida kidogo,
What is a contract?
What is an agreement?
What are the differences between Contacts and Agreements?
Why every contract is an agreement but not all agreements are contracts.
Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
-Bachelor of business administration in International business.
-Master of Leadership and Management.
Recent Publications;-
Assessment on the Effects of Micro-financing on Poverty Reduction.