Naibu Waziri Khamis Hamza: Viongozi tushuke chini kusikiliza shida na changamoto za Wananchi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,901
944
Mbunge wa Jimbo la Uzini Mheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO amewasisitiza Viongozi wa Chama na Serikali kushuka chini na kusikiliza kero na Changamoto za Wananchi kwani waliwachagua kwa Imani na Mapenzi wakijua kuwa Changamoto zao zitapata Suluhisho la Kudumu.

CHILO aliyasema hayo Tarehe 24/07/2023, aliposhirikiana na Wakulima na Wananchi wa Kijiji cha KOANI Mabonde ya Mpunga alipokuwa akivuna Mpunga pamoja na Wananchi wa Kijiji hicho

CHILO alisema, inapendeza sana kwa Wananchi wanafurahi wakiona Viongozi wao wapo pamoja na wao katika Harakati mbali mbali za Ujenzi wa Taifa Sambamba na kusikiliza kero na Changamoto zao na kuzitafutia Ufumbuzi

Khamis Chilo Amesema Hadhi na Heshima ya Kiongozi inapanda na Kuengezeka pindi akionesha Ushirikiano wake na Watu anaowaongoza.

CHILO alisema Mwezi wa Tano Mwaka huu Tulishirki katika Upandaji wa Mpunga na Wananchi na Mwezi wa Saba tumekuja Kuuvuna Mpunga huu tukiwa na Nyie Wananchi Mliotuchagua

Aidha Mheshmiwa CHILO amewataka Wananchi waweke Kumbu kumbu ya Juhudi zao kama Viongozi ili wakati wa Uchaguzi ukifika waje Wawachague tena na Kukichagua Chama cha Mapinduzi kiendelee kubakia Madarakani.

KHAMIS CHILO amempongeza sana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi kwa kazi nzuri pamoja na kuweka fedha nyingi kwenye Bajeti ya Wizara ya Kilimo ili lengo na Madhumuni ya kukuza Sekta ya Kilimo na kiwango cha Uzalishaji wa Chakula na kukuza Uchumi wa Nchi.

Khamis Hamza Chilo pia ni Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naye Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mheshmiwa HAJI SHABAN WAZIRI Amewapongeza sana Wananchi na wakulima hao kwa Jitihada zao za kujishuhulisha na Kilimo cha Mpunga.

WhatsApp Image 2023-07-26 at 00.44.52.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-26 at 00.44.53.jpeg
WhatsApp Image 2023-07-26 at 00.44.53(1).jpeg
WhatsApp Image 2023-07-26 at 00.44.54.jpeg
 
Kuna baadhi ya wananchi wameonekana wanachangamoto ya mkataba wa DP World Ila kuna kiongozi yeye kasema kabisa ameziba masikio 😁
 
Mbunge wa Jimbo la Uzini Mheshmiwa KHAMIS HAMZA CHILO amewasisitiza Viongozi wa Chama na Serikali kushuka chini na kusikiliza kero na Changamoto za Wananchi kwani waliwachagua kwa Imani na Mapenzi wakijua kuwa Changamoto zao zitapata Suluhisho la Kudumu.

CHILO aliyasema hayo Tarehe 24/07/2023, aliposhirikiana na Wakulima na Wananchi wa Kijiji cha KOANI Mabonde ya Mpunga alipokuwa akivuna Mpunga pamoja na Wananchi wa Kijiji hicho

CHILO alisema, inapendeza sana kwa Wananchi wanafurahi wakiona Viongozi wao wapo pamoja na wao katika Harakati mbali mbali za Ujenzi wa Taifa Sambamba na kusikiliza kero na Changamoto zao na kuzitafutia Ufumbuzi

Khamis Chilo Amesema Hadhi na Heshima ya Kiongozi inapanda na Kuengezeka pindi akionesha Ushirikiano wake na Watu anaowaongoza.

CHILO alisema Mwezi wa Tano Mwaka huu Tulishirki katika Upandaji wa Mpunga na Wananchi na Mwezi wa Saba tumekuja Kuuvuna Mpunga huu tukiwa na Nyie Wananchi Mliotuchagua

Aidha Mheshmiwa CHILO amewataka Wananchi waweke Kumbu kumbu ya Juhudi zao kama Viongozi ili wakati wa Uchaguzi ukifika waje Wawachague tena na Kukichagua Chama cha Mapinduzi kiendelee kubakia Madarakani.

KHAMIS CHILO amempongeza sana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi kwa kazi nzuri pamoja na kuweka fedha nyingi kwenye Bajeti ya Wizara ya Kilimo ili lengo na Madhumuni ya kukuza Sekta ya Kilimo na kiwango cha Uzalishaji wa Chakula na kukuza Uchumi wa Nchi.

Khamis Hamza Chilo pia ni Naibu Waziri wa Muungano na Mazingira wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naye Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mheshmiwa HAJI SHABAN WAZIRI Amewapongeza sana Wananchi na wakulima hao kwa Jitihada zao za kujishuhulisha na Kilimo cha Mpunga.

View attachment 2699256View attachment 2699257View attachment 2699258View attachment 2699259
Nilisoma vibaya nikafikir ni Uzinzi kumbe ni uzini
 
Back
Top Bottom