Kata ya Kanyigo - Kagera. Ziara ya Jimbo la Nkenge

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 25 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimboni.

Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Kanyigo na kugawa vitendea kazi kwa Viongozi wa CCM Kata ikiwemo Kalamu, Karatasi (Ream paper), Bendera za Chama, Sare za WanaChama kwa Viongozi wote wa Kata na Mipira ya Miguu kwa matawi yote katika kata ya Kanyigo

Mhe. Florent Kyombo amefanya ukaguzi wa mradi mpya wa maji, kata ya Kanyigo

Pia Mhe. Florent Kyombo amefanya Mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za Wananchi wa Kata ya Kanyigo.
View attachment 2699511View attachment 2699513View attachment 2699512View attachment 2699514View attachment 2699515View attachment 2699516View attachment 2699517
IMG-20230726-WA0024.jpg
View attachment 2699518
IMG-20230726-WA0023.jpg
IMG-20230726-WA0022.jpg
IMG-20230726-WA0016.jpg
IMG-20230726-WA0017.jpg
IMG-20230726-WA0019.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom