johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,127
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof Mbarawa amesema pamoja na Serikali kuwekeza tsh 1 trillion pale Bandarini bado performance imekuwa hairidhishi
Tatizo kubwa ni Ukosesefu wa vifaa vya kisasa, Udhaifu wa Tehama na business as usual kwa Watendaji ndio tumeona tuikodishe, amefafanua Prof Mbarawa
Prof amesema kwa sasa Bandari inachangia 37% ya Bajeti ya Taifa lakini tukienda vizuri Mwekezaji atatufikisha kwenye 67% hivyo Wananchi wasiwe na Wasiwasi waendelee kuiamini Serikali yao
Source Star tv
Habari zaidi, soma: