Wazanzibar Wana kisasi/chuki na hasira kwa watanganyika

Moyo wa nchi

Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
81
Reaction score
127
Kama ni mfuatiliaji wa mijadala mingi ya wazanzibar, Muungano Wana uchukulia kama ukoloni.

Hawaupendi, hawautaki na hawako tayari kuendelea nao hata lisaa lkn hawana namna ya kufanya kwani hata viongozi wao ni vibaraka wa ccm Tanganyika wanaochaguliwa Dodoma.

Wanadai Kuna fursa nyingi wanazikosa kimataifa kwa sababu ya kuwa chini ya mkoloni Tanganyika.
Kila chaguzi jeshi la polisi hulazimishi ushindi wa ccm Zanzibar hata kwa kumwaga damu na mambo mengi maovu.

Hawa wenzetu Wana hasira na chuki kubwa sana kiasi kwamba wamebaki kwenye huu muungano kwa Nia Moja tu ya kuiangamiza Tanganyika kwa akili kubwa.
Madai yao yanaweza kuwa kweli na kama SI kweli kwa nini Tanganyika tunaing'ang'ania Zanzibar?

Hivi faida hasa za huu muungano kwa Tanganyika ni zipi? Mbona Tanganyika ni kama tumepoteza taifa letu na tunajibebesha mzigo wa Zanzibar?

Maswali ni mengi sana lkn ukweli mchungu ni kwamba watanganyika tusipo jitathmini vizuri na kuacha ushabiki na uchu wa madaraka tutavuna mabua.

Kwani Hawa wazanzibar wamejipanga, walishautambua udhaifu wetu Kila wakipata madaraka wanatupiga na kitu kizito kichwani.
Loliondo, Serengeti na ngorongoro wametupiga na kitu kizito kichwani.

Bandari zetu zote ambazo ni moyo wa nchi wametupiga na kitu kizito kichwani.
Bado mlima Kilimanjaro, airport zetu n.k.

Hivi watanganyika ni nani aliyetuloga? Tutanyooshwa sana
 
Wa Tanganyika tunapitia mengi sana.
Wa Zanzibari ni wabaguzi ajabu.
Nakumbuka kipindi niko chuo walikuwa wanajitenga na kufanya mambo yao kivyao,wanatuona wa Tanganyika kama kinyesi vile.
Nashukuru mungu sijawahi kukanyaga ardhi ya Zanzibarvna sioni sababu ya mimi kuenda huko ikiwa wakazi wake wakiwa Tanganyika wanatunyanyapaa wenyeji vipi Tukienda huko kwao.
 
Wanataka kuvunja muungano na wameona hii ndiyo njia pekee ya Tanganyika kuanzisha mchakato wa kuuvunja mchakato. Wako sahihi. Tuuvunje.
 
Pamoja na yote hayo nchi ya Zanzibar itakuwa na itachukua muda sana kuondoka mikononi mwa Tanganyika.

Kuna sababu kadhaa japo naweza kuisema moja ni nani yupo nyuma ya huu muunganiko?, Huyu hakuwa Nyerere wala Karume bali kuna wenyewe huko hawawezi kutajwa mahara popote.

Ukimsikia Karume mdogo (Rais mstaafu akiongea kwenye issue yoyote na akagusia chinichini muungano ndipo unaweza kuelewa why muungano hauwezi kuvunjwa kirahisi, labda wenyewe watake.

Ni kweli wazanzibari hasa wa Unguja wengi wana ubinafsi, roho mbaya sana na wanawachukia 'wabongo' kama wanavyotuita ila hao hao wametokea huku bara, wengi wametoka Tabora, wameoa wanyamwezi, wasukuma, waingia Tanga huko kutwaa dada zetu na ndiyo wanawatunza.

Wanajua kabisa wanawake wa kizanzibari ni wavivu, hawajui kupika, wachafu hawana misambwanda, mvua ikinyesha hawajui kuteka maji ya mvua na kanga moja 😂, so haya nayo yanawafanya wauone muungano kama tunu japo wanatuumiza na kutudalalia mali zetu kwa wajomba zao wenye kanzu.

Malkia hawezi kuiondoa zanzibar kwenye milki ya Tanganyika hata theruthi.
 
It is what it is TZ kama alivyosema Mh Lukuvi hatuwezi kamwe kuiacha Zenji
kimkakati wa security siasa kali zinaweza kuingia Zenji na kusambaa mikoa ya pwani na kuharibu stability yetu hili eneo ni nyeti sana
 
Kama ni mfuatiliaji wa mijadala mingi ya wazanzibar, Muungano Wana uchukulia kama ukoloni.

Hawaupendi, hawautaki na hawako tayari kuendelea nao hata lisaa lkn hawana namna ya kufanya kwani hata viongozi wao ni vibaraka wa ccm Tanganyika wanaochaguliwa Dodoma.

Wanadai Kuna fursa nyingi wanazikosa kimataifa kwa sababu ya kuwa chini ya mkoloni Tanganyika.
Kila chaguzi jeshi la polisi hulazimishi ushindi wa ccm Zanzibar hata kwa kumwaga damu na mambo mengi maovu.

Hawa wenzetu Wana hasira na chuki kubwa sana kiasi kwamba wamebaki kwenye huu muungano kwa Nia Moja tu ya kuiangamiza Tanganyika kwa akili kubwa.
Madai yao yanaweza kuwa kweli na kama SI kweli kwa nini Tanganyika tunaing'ang'ania Zanzibar?

Hivi faida hasa za huu muungano kwa Tanganyika ni zipi? Mbona Tanganyika ni kama tumepoteza taifa letu na tunajibebesha mzigo wa Zanzibar?

Maswali ni mengi sana lkn ukweli mchungu ni kwamba watanganyika tusipo jitathmini vizuri na kuacha ushabiki na uchu wa madaraka tutavuna mabua.

Kwani Hawa wazanzibar wamejipanga, walishautambua udhaifu wetu Kila wakipata madaraka wanatupiga na kitu kizito kichwani.
Loliondo, Serengeti na ngorongoro wametupiga na kitu kizito kichwani.

Bandari zetu zote ambazo ni moyo wa nchi wametupiga na kitu kizito kichwani.
Bado mlima Kilimanjaro, airport zetu n.k.

Hivi watanganyika ni nani aliyetuloga? Tutanyooshwa sana
Watanganyika NI wakoloni tuu kama wakoloni wengine tafauti rangi tuu
 
Nyerere si ndiye muungano wake? Mlaumu Nyerere.

Msikilize Tundu Lissu:

Shida ni ccm,ili kuondoa ubaguzi tuwe na serkali moja tu,ama katiba iwezeshe smz iajiri 20% ya watanganyika katika taasisi zake kama ilivyo kwa jmt.
 
Kama ni mfuatiliaji wa mijadala mingi ya wazanzibar, Muungano Wana uchukulia kama ukoloni.

Hawaupendi, hawautaki na hawako tayari kuendelea nao hata lisaa lkn hawana namna ya kufanya kwani hata viongozi wao ni vibaraka wa ccm Tanganyika wanaochaguliwa Dodoma.

Wanadai Kuna fursa nyingi wanazikosa kimataifa kwa sababu ya kuwa chini ya mkoloni Tanganyika.
Kila chaguzi jeshi la polisi hulazimishi ushindi wa ccm Zanzibar hata kwa kumwaga damu na mambo mengi maovu.

Hawa wenzetu Wana hasira na chuki kubwa sana kiasi kwamba wamebaki kwenye huu muungano kwa Nia Moja tu ya kuiangamiza Tanganyika kwa akili kubwa.
Madai yao yanaweza kuwa kweli na kama SI kweli kwa nini Tanganyika tunaing'ang'ania Zanzibar?

Hivi faida hasa za huu muungano kwa Tanganyika ni zipi? Mbona Tanganyika ni kama tumepoteza taifa letu na tunajibebesha mzigo wa Zanzibar?

Maswali ni mengi sana lkn ukweli mchungu ni kwamba watanganyika tusipo jitathmini vizuri na kuacha ushabiki na uchu wa madaraka tutavuna mabua.

Kwani Hawa wazanzibar wamejipanga, walishautambua udhaifu wetu Kila wakipata madaraka wanatupiga na kitu kizito kichwani.
Loliondo, Serengeti na ngorongoro wametupiga na kitu kizito kichwani.

Bandari zetu zote ambazo ni moyo wa nchi wametupiga na kitu kizito kichwani.
Bado mlima Kilimanjaro, airport zetu n.k.

Hivi watanganyika ni nani aliyetuloga? Tutanyooshwa sana
Hata sisi Watanganyika hatuupendi kabisa huu muungano wa mchongo,ila ukivunjika Wazanzibari ndiyo wataumia sana kwani wao ndiyo wana mali zisizohamishika huku bara.
 
Ni jambo la kusikitisha sana muwakilishi wangu mwenye asili ya Tanganyika anagonga meza kupitisha mambo ya kipumbavu, kazi kuendekeza tu unafiki, ubinafsi na njaa.
 
Wazanzibari kila wakipata nafasi ya kututawala lazima watuumize watanganyika, wanaichukulia Tanganyika kama dude fulani kubwa sana ambalo hawachoki kulidokoa kila wakipata nafasi, huu ujinga unatakiwa kukoma.
 
It is what it is TZ kama alivyosema Mh Lukuvi hatuwezi kamwe kuiacha Zenji
kimkakati wa security siasa kali zinaweza kuingia Zenji na kusambaa mikoa ya pwani na kuharibu stability yetu hili eneo ni nyeti sana
Security ipi wakati wakipata madaraka wanatupiga na kitu kizito kichwani kama hivyo basi usalama wetu hauko salama
 
Hata sisi Watanganyika hatuupendi kabisa huu muungano wa mchongo,ila ukivunjika Wazanzibari ndiyo wataumia sana kwani wao ndiyo wana mali zisizohamishika huku bara.
Halafu wanaleta chuki na kutuchukia watanganyika
Hawa watu hawana shukrani kabisa
 
Back
Top Bottom